man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 463
- 319
Habari wakuu
Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.
Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.
N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa jamaa misimamo yao na wanavyo wakanda.
Linapokuja suala la CCM hao PSRS hamna kitu maana nao wanapokea maagizo kutoka ofisi ya Rais.Habari wakuu
Kumekuwepo na viashiria vya kutokuaminiana mapema tu kabla ya uchaguzi mkuu,imefikia hatua baadhi ya vyama vya siasa kuamua kususa.
Kwanini ili zoezi wasipewe hawa jamaa ili kutenda haki??? Ili taratibu zifuatwe na kupata wawakilishi halali.
N:b Job seekers wanawajua vizuri hawa jamaa misimamo yao na wanavyo wakanda.
Hiyo sekretarieti si bado watumishi wake ni waajiriwa wa serikali?
Kwani hao Ccm sio watumishi wa umma?Linapokuja suala la CCM hao PSRS hamna kitu maana nao wanapokea maagizo kutoka ofisi ya Rais.
AhahaTena hao ndio wapo chini ya ofisi ya Rais....tabu ipo palepale.
Ila hawa jamaa wanazingatia sana uwazi, usawa, na ushindani katika mchakato wa ajira za umma.Kama unaamini haki inatolewa na UTUMISHI ambao wapo chini ya TAMISEMI na WIZARA YA KAZI NA AJIRA
Basi you need more knowledge
Thank you for trying to think
Ndio ila kimuundo hawachaguliwi na miongoni mwa wagombea wa uchaguzi
Kama wanazingatia ushindani na uwazi kwanini GPA sio kigezo cha kumfanya mtu apate ajira?Ila hawa jamaa wanazingatia sana uwazi, usawa, na ushindani katika mchakato wa ajira za umma.