Nyungu,tangawizi na malimao.
Kwahiyo ni tamko la RaisJafo yuko Kwenye ofisi ya Rais
. Ndyo koz yeye ndo mkuu wa serikal za mitaaKwahiyo ni tamko la Rais
kiherehere cha jafo.Serikali kupitia kinywa Cha Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo imetangaza wiki ya watu kupiga nyungu inayoanza leo Jumatatu kama moja ya silaha ya kupambana UVIKO.
Ni baada ya kumalizika kwa wiki ya Sheria inayohitimishwa leo ambapo Rais Magufuli ni mgeni rasmi.
Swali langu ni hili. Vita ya UVIKO au Corona iko chini ya wizara ya Afya chini ya Waziri Dk. Gwajima. Kwa nini TAMISEMI ndio itangaze wiki ya nyungu na si Wizara ya Afya?
Je, Dk. Gwajima haamini katika nyungu? Pili, tunaomba maelezo ya kutosha ya namna ya kupiga nyungu maana ni rasmi kiserikali, si ushirikina.
Don't be silly. Jaffo ni Mzaramo, nyungu ni dawa asilia ya Kizaramo. Huyu Dr Gwajima atakuwa ni Mnyamwezi (Zanzibar watu wote kutoka Bara huitwa Wanyamwezi), dawa yao ni hiyohiyo lakini itakuwa jina tofauti. Au una maana gani, Dr Gwajima si alisema wametumua hizi dawa yeye na familia yote? Wewe kinakuuma mitanotena, pole, hukujua CCM ina majembe mengi tu. Watu tunajiuliza, hivi huyu mdada alikuwa wapi kugombea?Serikali kupitia kinywa Cha Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo imetangaza wiki ya watu kupiga nyungu inayoanza leo Jumatatu kama moja ya silaha ya kupambana UVIKO.
Ni baada ya kumalizika kwa wiki ya Sheria inayohitimishwa leo ambapo Rais Magufuli ni mgeni rasmi.
Swali langu ni hili. Vita ya UVIKO au Corona iko chini ya wizara ya Afya chini ya Waziri Dk. Gwajima. Kwa nini TAMISEMI ndio itangaze wiki ya nyungu na si Wizara ya Afya?
Je, Dk. Gwajima haamini katika nyungu? Pili, tunaomba maelezo ya kutosha ya namna ya kupiga nyungu maana ni rasmi kiserikali, si ushirikina.
Vp tukiongezea pilipiliNyungu, tangawizi na malimao.
Serikali kupitia kinywa Cha Waziri wa TAMISEMI Suleiman Jaffo imetangaza wiki ya watu kupiga nyungu inayoanza leo Jumatatu kama moja ya silaha ya kupambana UVIKO.
Ni baada ya kumalizika kwa wiki ya Sheria inayohitimishwa leo ambapo Rais Magufuli ni mgeni rasmi.
Swali langu ni hili. Vita ya UVIKO au Corona iko chini ya wizara ya Afya chini ya Waziri Dk. Gwajima. Kwa nini TAMISEMI ndio itangaze wiki ya nyungu na si Wizara ya Afya?
Je, Dk. Gwajima haamini katika nyungu? Pili, tunaomba maelezo ya kutosha ya namna ya kupiga nyungu maana ni rasmi kiserikali, si ushirikina.
Nyungu sio tangawizi na malimao .Nyungu, tangawizi na malimao.
Usisahau na "kashwankara" ya kutoka kwa Prof wa tuela twa mboga.