Waziri Gwajima ni Waziri wa afya anayejisahau na kuingilia mjukumu ya TAMISEMI,(Waziri wa Afya anatakiwa kushughulikia sera za Afya).Na amekosekana wa kumwambia juu ya kuingilia majukumu ya TAMISEMi,yaani kwa vile alitokea TAMISEMI ambako alifanikiwa kuten genezea kiki zake labda anajisahau kuwa sasa yupo Wizara ya Afya!
Waziri Jafo ni Waziri wa TAMSEMI na ni Wizara iliyopo karibu na Wananchi kupitia usimamizi wa Vijiji,Halmashauri,Wilaya na Mikoa!!
Waziri Jafo akisema tupige nyungu yupo sawa,yaani hayo ni mambo ya ngazi ya mwananchi wa kawaida kwa imani zetu!
Waziri Gwajima lazima apate kigugumizi kuhusu "Corona"!