Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Kwanini Selena Gomez ana wafuasi wengi Instagram?

Hvi bongo kuna mtu anafolowaz 5m? Naona Mastaa hasa wa bongo wanacheza 1m mpaka 4m tena hao ndio mastaa hasa.......Kwa mastar wa mtoni Post ina Just now lakini ina comments 3000 na likes 50000.
 
Hvi bongo kuna mtu anafolowaz 5m? Naona Mastaa hasa wa bongo wanacheza 1m mpaka 4m tena hao ndio mastaa hasa.......Kwa mastar wa mtoni Post ina Just now lakini ina comments 3000 na likes 50000.
Hakuna kwa TZ mwenye followers wengi Instagram ni Mond
 
OMG!! I love Ellie,[emoji11][emoji11] nina her songs kwenye playlist yangu.... The Writer, I know you care, This is your song, etc.

Miley simkubali kabisa yaan, Sia yeah yeah,
Perry nipo inlove na videos zake.
Unconditionally will be my favourite song from Katty followed by Dark Horse. I love you Katy Perry
 
Unconditionally will be my favourite song from Katty followed by Dark Horse. I love you Katy Perry
Hiyo ni Album yake ya Prism aliitoa 2013, mle hamna wimbo wa kuskip kuanzia Roar, Unconditionally , Legendary lovers, Ghost, Love me mpaka Choose your battle.

Prism ni miongoni mwa album za pop ambazo huwa sichoki kuzisikiliza...
Nyingine ni

1989-Taylor Swift
Bangerz-Miley Cyrus
Glory Days-Little Mix
The Fame-Lady Gaga
Dua lipa-Dua Lipa
Chapter One-Ella Henderson
Sweeter Talker-Jessie J
100 forms of fear-Sia
 
Alianza usanii wa kuigiza kabla hajajiingiza kwenye kuimba akiwa mdogo sana...

Kipindi hicho alianzia kwenye vipindi vya filamu za kitoto...

Cc: mahondaw
 
Naombeni link ambayo naweza kudownload ngoma zao free maana zinapatikana kwa shida sana, si kama za bongo[emoji2]
 
Huyu selena gomez na selena QUNT... NI MTU MMOJA AU
 
THE ROCK muigizajii anayependwaa zaidii
e1b0367f807561d9062433b3068ce9a4.jpg
 
Back
Top Bottom