Kifupi kila nchi huwa kuna kiwango maalum cha kuchapisha hela ambacho hulatibiwa na benki ya dunia! Labda itokee janga mfano moto ndio unaweza kuomba kibali kuchapisha nyingine!! Vinginevyo serikali isingekuwa na uhaba wa fedha na mfuko wa bei ungekuwa mkubwa sana