Mleta mada ni bwege. Eti ukanda wa ziwa una watu wanapenda masomo ya sayansi. Ni nani kakwambia chuo kinawekwa sehemu wenyeji wana maslahi nacho?? Kama chuo sio kwa ajili ya wenyeji TU basi haijalishi kiko wapi?? Moshi Tech ilikuwa ni kwa ajili ya mji wa Moshi? Au Mbeya Tech na Arusha Tech zilikuwa ni kwa akili ya wenyeji wa maneo hayo??
Nilidhani utaweka maslahi ya kiuchumi. Na kama ni hivo basi kuna makao makuu ya mikoa kadhaa hayana vyuo - Babati, Katavi, Songea, Shinyanga, Simiyu.
Je, kwanini sehemu hizo zisiwe na chuo hicho?? Au watu wa huko hawapendi masomo ya sayansi? Kuna sehemu katika nchi hii zinapaswa kusisimuliwa kiuchumi kwa kuwa na vyuo. Labda sio sahihi kwa chuo hiki kuwa Dodoma lakini kwa sababu zako za kijinga, wakiweke popote!!
Uwezo mdogo wa kufikiri ndio shida ya nchi hii.