Huna akili kabisa, kabla ya soko walikuwa wanauzaje mawe unaelewa utaratibu, kila mtu alikuwa anaenda kwa mtu atakaye mpa hela anayo itaka watu walikuwa wanajitokeza kila mtu na ofa yake, alipofikisha kwenye soko la madini akaambiwa thamani yake na hapo hapo akaambiwa serikali ndio itachukua unafikiri hakuogopeshwa kutishana naye?Huyo mwenye mawe hayo umesikia kalalamika? Mwenye madini hayo yupo ktk industry ya madini zaidi ya miaka kumi, hakuna unachoweza kumdanganya kuhusu bei ya tanzanite. Tafuta hela yako ya kula mkuu acha chokochoko!
Sasa kama unajua kila kitu kwa nini uliweka hii post ?Huna akili kabisa, kabla ya soko walikuwa wanauzaje mawe unaelewa utaratibu, kila mtu alikuwa anaenda kwa mtu atakaye mpa hela anayo itaka watu walikuwa wanajitokeza kila mtu na ofa yake, alipofikisha kwenye soko la madini akaambiwa thamani yake na hapo hapo akaambiwa serikali ndio itachukua unafikiri hakuogopeshwa kutishana naye?
Kamuulize, ilibidi awe mpole kwann alikataliwa asimhusishe mwingine kutaka kununua. UBABE dnio ulio tumika vinginevyo ata nyanganywa. KABLA YA KUNIJIBU UNATAKIWA UWE NA AKILI ILIYO TULIA.
Ni leo tu au jana ndio kuna mawe yametoka ambayo yangeweza kuwekwa kwenye kumbukumbu ya nchi eti, come on usifanye kuwa kama leo ndio umesikia kuna madini yanayoitwa tanzanite, sababu hii haina mashiko, tunaangalia faida ya mtu mmoja katika maisha yake anafaidikaje na jasho lake kwa kulipata jiwe hilo kupitia soko sio akubali tu bei anayopewa.So ilikuwa na lazima serikali kuyanunua hayo ili kuweka kumbukumbu kwa taifa hili.
Wewe ndio unajua kila kitu mi sijui, nimeweka maoni na mawazo yangu ambayo yanaweza kusahihishwa pia.Sasa kama unajua kila kitu kwa nini uliweka hii post ?
Lini ulisikia kuwa kuna mawe makubwa zaidi ya lile la kilo 3 ambalo liliuzwa zamani kabla ya hayo mabadiliko? nionyesha lini na wapi?Ni leo tu au jana ndio kuna mawe yametoka ambayo yangeweza kuwekwa kwenye kumbukumbu ya nchi eti, come on usifanye kuwa kama leo ndio umesikia kuna madini yanayoitwa tanzanite, sababu hii haina mashiko, tunaangalia faida ya mtu mmoja katika maisha yake anafaidikaje na jasho lake kwa kulipata jiwe hilo kupitia soko sio akubali tu bei anayopewa.
Kwenye kilimo serikali ilisema watu wapange bei wanazoona zina wafaa kuuza mazao sio bei tu inayoletwa ambayo ni kandamizi.
Kuna watu walalamishi sana.
Jua kuwa kuna baadhi ya vitu hata viwe na thamani kiasi gani huwezi uza kutokana na umuhimu wake kwako. Kwa mfano huwezi kumtoa mkeo kwa mtu mwingine sababu huna pesa au kutaka sifa hata kama una uwezo.
Kwa ukubwa wake na vile yanapatikana tz pekee, ingekuwa ni ujinga hayo madini yanunuliwe na mtu au kampuni binafsi ambayo ingeweka kwenye makumbusho zao na kupata zaidi.
So ilikuwa na lazima serikali kuyanunua hayo ili kuweka kumbukumbu kwa taifa hili. Sometimes, usiangalie faida tu, angalia na taifa lako. Hayo sasa moja ya utambulisho la taifa.
Na nakushauri, usichukie sababu amenunua jiwe, hata ingekuwa cdm ndio wanaongoza nchi kwangu wangekuwa wamefanya kitu cha maana sana sababu ni utaifa wetu kwanza.
Unajua thamani ya gemstone ipo wapi? Maana naona wengi mnaongea kama mmeshikiwa akili.Yaani mm niwekeze niwekeze tsh 7 halafu nipate jiwe la sh 50 niiuzie nchi kwa tsh 10 kisa uzalendo ungese huo kama wanataka mawe si nao wana chimba