Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

Kama ulivyoandika mwenyewe kuwa ni watumishi wa chini, basi fahamu kuwa serikali hii siyo ya watu wa chini.

Once poor, you will always be poar. Sasa kwann serikali ihangaike na maskini? Serikali hii inahangaika na matajiri tu.

Na hivi karibuni inakusudia kuweka tozo kwenye mishahara, ili muwe maskini zaidi.
 
lawama kwa serikali ya ccm, andika barua 24 hrs acha kazi, wakati walimu wenzako wanajitolea miaka 6 huku mitaani kwa laki 1
 
Sio lazima uwe mwalimu, fanya mambo mengine
 
Lawama zote ziende kwa Magufuli mungu wa wajinga.
Afadhali Samia anapandisha mafaraja na kuweka annual increment.
Miaka 7 no new salary, no annual increment, no madaraja no upuuzi gani na wajinga wakamwabudu.
Wewe ndio mjinga Magu alikuwa jembe la ukweli acha kusema hivyo una rubuniwa kizembe na kukikashifu jembe kweli asemae tembea uyaone hakukosea
 
Bado safari ni ndefu sana tukaze buti.
Imagine pamoja na hayo yote bado kuna Watanzania wanaomsifia kwamba ni jembe eti😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…