Kwanini serikali haipigi marufuku sherehe za Simba day saa za kazi?!

Kwanini serikali haipigi marufuku sherehe za Simba day saa za kazi?!

Kuizuia Simba ni kama kumzuia rais kufanya kazi
 
Tumia akili Simba sio taasisi ya serikali na wala sio.chama cha siasa inajiendesha kwa vyanzo vyake ilivyobuni yenyewe vipi.uwapangie siku na muda wa kutekeleza programu zao?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simba Ndiyo Tanzania Ni Timu Kubwa Sana Barani Africa. Huwezi Kuzuia Jambo Lolote
Mtani Kanywe Maji Baridi Chimpumu Ikae Sawa Tumboni.
Yanga Bariidii Haina Mvuto
[emoji1][emoji38][emoji1][emoji38]
 
Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!

Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
Wewe utapasuka utosi bure saa za kazi gani?
 
Tumia akili Simba sio taasisi ya serikali na wala sio.chama cha siasa inajiendesha kwa vyanzo vyake ilivyobuni yenyewe vipi.uwapangie siku na muda wa kutekeleza programu zao?
Baadhi ya wanachama wao ni wafanyakazi wa umma ambao wanatakiwa kuwa ofisini!
 
Back
Top Bottom