Used car.Ni wivu tuView attachment 1172212
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😀😀Umekaa chini baada ya kula viazi mbatata ushuzi umeshindwa kutoka kupita njia ya haja kubwa umeamua uutoe kupitia maandishi (JF).
[emoji1][emoji38][emoji1][emoji38]Simba Ndiyo Tanzania Ni Timu Kubwa Sana Barani Africa. Huwezi Kuzuia Jambo Lolote
Mtani Kanywe Maji Baridi Chimpumu Ikae Sawa Tumboni.
Yanga Bariidii Haina Mvuto
Ahahahaha malizia kabsa kua jezi ya simba nzuri, hadi ukweni unaenda nayoHahahaaa. Kusema la ukweli huyo Dada kapendeza.
😅😅😅😅 naona unataka kunilisha maneno Mtani. 😅😅Ahahahaha malizia kabsa kua jezi ya simba nzuri, hadi ukweni unaenda nayo
Hapo ni huu usio na mvuto kapendeza hivi je angetupia ule wa yanga ingekuwaje jamani[emoji7]Hahahaaa. Kusema la ukweli huyo Dada kapendeza.
Yaani acha tu Mkuu. 😀😀Hapo ni huu usio na mvuto kapendeza hivi je angetupia ule wa yanga ingekuwaje jamani[emoji7]
Upuuzi..bingwa Mara nyingi ndio mfalme..nimekupiga mechi nyingi,nimekufunga magoli mengi..Yanga imeleta uhuruBila simba hakuna Tanzania
Upuuzi..bingwa Mara nyingi ndio mfalme..nimekupiga mechi nyingi,nimekufunga magoli mengi..Yanga imeleta uhuru
Wewe utapasuka utosi bure saa za kazi gani?Mara zote tumekuwa tukiaminishwa kuwa serikali haiwezi kuruhusu sherehe, mikutano na maandamano siku na saa za kazi kwa kisingizio watu wafanye kazi ili kujenga nchi ya viwanda! Cha kushangaza imeruhusu Simba kufanya shughuli zake za sherehe siku na saa za kazi?!
Haya marufuku ni kwa vyama vya siasa vya upinzani tu?
Baadhi ya wanachama wao ni wafanyakazi wa umma ambao wanatakiwa kuwa ofisini!Tumia akili Simba sio taasisi ya serikali na wala sio.chama cha siasa inajiendesha kwa vyanzo vyake ilivyobuni yenyewe vipi.uwapangie siku na muda wa kutekeleza programu zao?
Mtoto VickyNi wivu tuView attachment 1172212