Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho.
Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
 
Kuna tetesi kwamba mwarabu ametoka dollar millioni 500 kwa TPA,kama ni kweli Kuna uwezekano mkubwa sehemu ya fedha hizo imetembezwa mjengoni kwa akina msukukuma and co.
Hata wapinzani wanaweza kupenyezewa mlungula ili wakae kimya.
 
Back
Top Bottom