Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika badala ya mitungi ya gesi ambayo si endelevu kutokana na mazingira ya vijijini.