Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Mbinu waliyotumia kwenye umeme ndiyo hiyo inakuja kwenye nishati safi, watagawa mitungi mwisho wa siku tozo itahamia huko kila mwanakijiji anaponunuaa mtungiTunashuhudia serikali ikigawa mitungi ya gesi vijijini ambako wananchi wanauwezo wa kupata nishati safi bila gharama yoyote. Wafugaji na wakulima wanayo mabaki ya vyakula na samadi ambayo yanaweza kutumika kutengeneza nishati safi, kinachohitajika ni serikali kuwapa vifafaa vinavyohitajika badala ya mitungi ya gesi ambayo si endelevu kutokana na mazingira ya vijijini.
Waliopewa wengine wameikata kutengeneza majiko ya mkaa.Mbinu waliyotumia kwenye umeme ndiyo hiyo inakuja kwenye nishati safi, watagawa mitungi mwisho wa siku tozo itahamia huko kila mwanakijiji anaponunuaa mtungi
Hili la mitungi linawahusu madalali wa CCM ili wakusanye pesa za kuichangia CCM kwenye kampeni za uchaguzi, hawa madalali ambao ni wahindi na waarabu ambao hatuwaoni kwenye mikutano ya siasa ndio wanatuharibia nchi.Mbinu waliyotumia kwenye umeme ndiyo hiyo inakuja kwenye nishati safi, watagawa mitungi mwisho wa siku tozo itahamia huko kila mwanakijiji anaponunuaa mtungi
Rev Christopher Mtikila was righthawa madalali ambao ni wahindi na waarabu ambao hatuwaoni kwenye mikutano ya siasa ndio wanatuharibia nchi.
Na ndio matajiri wasio wafanyabiashara wa CCM wanawapenda sana.Rev Christopher Mtikila was right