Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Ilikuwa lazima afe Ili kuliokoa taifa
 
Ipo siku tutaujua ukweli na waliohusika Siku yao ya kiama itakuja. Narudia MAGUFULI alikufa kwa mchongo. RIP jiwe letu nimekukumbuka sana
Kwa kesi JPM, it's just matter of time, haitapita 5yrs, kunasiku mtu atalibutua, Kwanza wacha walumbaneeee wakifanya kosa wakaanza kufukuzana ndo utajua Sasa Nan atalibutua kopo la kombolela, ila ninauhakika kunasiku mtu atasimama kwa kukiri, ama kizimban akijib kuhusiana na suala hili..
 
We jamaa just hahaaaa
 
Just hahaaaa!!!!korona haina kulemba
 
Ukimaliza cku zako unatakiwa kwanza kuoga kisha uje kujadili na Arrijaalu
Kweli kabisa mkuu,itapendeza saana ikiwa yule gaidi akiachiwa na kupewa nchi au yule Mrs Robert Amsterdam akitoka huko aliko tujipange tumpe nchi

Naunga hoja!!
 

Wewe ni mamluki and trust kuwa hakuna unachokijua .

JPM amekatishwa uhai na watu aliowaamini. Hata Mama alikuwa ni inside job la kundi la wahuni.

Uhai wa JPM ulikuwa challenged for the first time pale Mtwara, shambulio la kwanza Lilianza pale ; ili kujenga hoja ya Corona timu yake ya karibu ili pay responsibility na kuwa ni sehemu ya frustration kwa Mkuu .

Mkamzushia Mkuu kafa na Corona .

Ujio wa wageni chato ulikuwa ni cement ya kumaliza uhai wa JPM. Baada ya Ugeni , timu nyingine ilipotea huku Target ni JPM. Adhima yake ilimazikia pale stand ya JPM , baada ya hapo alionekana state akiapisha huku akiwa dhaifu, baada ya hapo wahuni wakafanya sherehe.

Kwa ufupi kabisa TISS ya Tanzania Sio TISS ya Intelligence, ni TISS ya Umbea na Ulafi.

TISS ni chombo dhaifu sana kwa maslahi mapana ya nchi. Na ndio maana upigaji mkubwa inafanyika na state security ipo na wala haina impact.

Kuuliwa kwa JPM ni kufeli kwa TISS iliyopasuka, na Hii ni ishara mbaya kwa TAIFA . Kama TISS inaweza kupasuliwa na wastaafu Pamoja na wahuni , na Ikapasuka, ujue nchi haina stable security ya ki intelligence na wala nchi haina mamlaka .

JPM aliakisi mila za ki TZ. Kwa Mfano , suala la vyeti fake na mishahara hewa, haya mambo yapo kwa Mtu mweusi , wenzetu wana system control na walishaondokana na huo ujinga. Leo JPM anawasafishia nchi, mnalia lia majitu yaliyofoji vyeti yarudia ofisi, sijawahi kuamini MTZ ni Mtu mwenye akili,wala sitokuja kuamini.

Leo hii JPM analinda madini yetu , watz wanakuwa upande wa mabeberu wangine walikuwa wanaomba kununua kesi, ndio maana hili taifa haliwezi kujaa kutoboa kamwe.

Leo Hii Samia anaponda utawala wa JPM , huku watu wanapiga makofi, ni mambo ya aibu na ukosefu wa elimu inatafuna taifa.

Hii ni ishara kuwa taifa lipo kwenye hatari maana ikiwa samia ana diss utawala wa JPM , maana yake hawa viongozi wa CCM ndio ni tatizo la taifa letu ; Yaani hawa ni kuondoa wote , kamwe hawawezi kuwa ni solution ya matatizo kama taifa.

Kila mmoja akiondoka, atataka kuonesha Shida ilikuwa kwa mtangulizi wake, hivyo hapo Huwezi pata maendeleo , maana hakuna maturity na akili timamu . Wote ni wendawazimu
 
[emoji871][emoji871][emoji871] Mkuu wewe ujue hizi habari afu TISS wasijue?? Hii nchi ngumu kweli kweli. Hapo ukute uko ILEMELA umetulia kwenye kijiwe cha Kahawa.
 
Usalama wa nchi hii upo shakani sana.
Vipao mbele vyao ni kudidimiza upinzani na si kuinua maisha ya Watanzania.
TISS Mungu anawaona.
 
[emoji871][emoji871][emoji871] Mkuu wewe ujue hizi habari afu TISS wasijue?? Hii nchi ngumu kweli kweli. Hapo ukute uko ILEMELA umetulia kwenye kijiwe cha Kahawa.
TISS haina watu wajinga kama huyo mzee.
 

Amen [emoji120]
 
JPM alijijua kama ni mgonjwa na hata ukimsikiliza hotuba zake alikuwa anaweka wazi kwa namna ya asili (subconscious).

Alijua kuwa afya yake sio nzuri na alijua hana muda mrefu duniani. Cha ajabu akawa anaishi kwa stress nyingi tofauti kabisa na maradhi aliyokuwa nayo.

Pia asingeshindwa kutibiwa Ulaya au USA kama angetaka, aliamua kuwa mbishi tu kwamba lolote na liwe. Alikuwa tayari kwa lolote.
 
Haiwezekani kuwa uongo, pesa zote za kodi zilizokusanywa na TRA zilipelekwa BoT. Pesa zote za mashirika ya serikali yanayotengeneza pesa kama TPA, TANESCO nk zilikuwa zinapelekwa BoT kwa hiyo haiwezekani kwamba wapike data maana ni rahisi ku-cross check mawasilisho ya pesa kutoka TRA na mashirika yote ya umma.

Vv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…