Leo hii bado unaamini hayo uliyoandika?!Hata hivyo nahodha aliepo sasa ana weledi na ujuzi unaofanana na alietangulia. Kwahiyo tuna imani atatufikisha salama safari yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo hii bado unaamini hayo uliyoandika?!Hata hivyo nahodha aliepo sasa ana weledi na ujuzi unaofanana na alietangulia. Kwahiyo tuna imani atatufikisha salama safari yetu.
Yote sawa, isipokuwa hilo la Gwaji girl! ... kutokana na terror tactics zake, ujuaji na imani potofu alizojilisha Jiwe, ilifika wakati watendaji wake wote wakawa wanangojea maagizo kutoka kwake, kuhusu kila kitu, na si vinginevyo! ... YAANI HAKUKUWA NA NAMNA TENA!COVID 19 deniar....
Na ikamchukua kweli...
Nyie tengenezeni theories nyiiiingii lakini huo ndiyo ukweli...
Mlipuko wa kwanza alifanya vizuri sana kwenda kujificha Chato mpaka hali ilipopoa... Hapa credits zote apewe Kipilimba & Ummy kwa kusimamia profesionalism, walijua japo COVID 19 machoni mwa jamii wameikana haipo lakini ukweli ni kwamba ilikuwepo na kwa usalama wa Rais haikuwa salama kumuexpose...
Mlipuko ule wa March akawepo Diwani na Gwaji Girl kwenye taasisi nyeti, na wote ni wachumia tumbo. Watafanya lolote ilimradi kulinda vibarua vyao. Wakammislead mwamba, wakamruhusu afanye ziara kuanzia Chato kuja mikoa yote ya mashariki. Alipita Tabora, Singida, Morogoro. Alipofika Dar akaenda kuzindua Kijazi Interchange, akazindua Magufuli Bus Terminal, akazindua Soko la Kisutu. Baada ya hapo akarudi ndani na HAKUTOKA TENA mpaka kifo kilipomfika.
Mpaka hapo mtakuwa mmeshajua wa kubebeshwa mzigo ni nani. Unapochaguliwa kuwa Waziri ina maana unatakiwa kumshauri Rais ukweli daima, unatakiwa umshauri na kumpa ukweli Rais hata kama hatakubaliana na wewe, lakini utakuwa umeshatimiza wajibu wako. Yani always unatakiwa usimamie ukweli hata kama utatumbuliwa, maana kuongopa kwako kunaweza kuicost nchi na wananchi wote.
Ningekuwa Rais, mtu wa kwanza kutumbuliwa angekuwa huyu Gwaji Girl, viongozi aina hii ni HATARI KWA TAIFA kwani hawasimamii profesionalism bali wanaenda na upepo wa Rais anavyotaka na wao wanafuata, hata kama Rais yuko wrong wanaogopa kumpa correct informations kwa kuogopa kuonekana wanampinga, mwisho wa siku wanamuingiza chaka Rais.
NB: Kama kawaida juzi wametoa taarifa kwa umma kwamba mlipuko uliopo sasa ni mafua makali, hamna corona. Halafu likitokea la kutokea tunaanza kutafuta mchawi nani. Sisi hatuna shida, ila wakumbuke viongozi wengi huko juu ni wazee na wana magonjwa mengine sugu ambayo yakiungana na COVID 19 ni suala la muda tuu kukutoa roho, na haichukui round wataanza kudondoka very soon, hii yote inasababishwa na aina hii ya viongozi wanaojali matumbo yao zaidi. Sisi yetu macho na masikio.
Serious gani ulishawai sikia wapi jiwe likiugua? Hayo maombi yalishindikana siku zote anaomba aombewe ndio uje kuomba akiwa mgonjwaNapenda Utani mno ila tafadhali hapa nipo 'Serious' sawa Mkuu? Kuna muda wa Utani na wa Umakini. Hebu jaribu Kunisoma na ukiona mpaka Usiku huu nimekuja na huu Uzi jua kuna Jambo.
Hayati Rais Dkt. Magufuli kama binadamu ( tulivyo Wengine pia ) alikuwa na Mapungufu yake ila kwa Tanzania iliyokuwepo na iliyoharibiwa na 'Waswahili' na 'Mafisadi' fulani fulani huku Nidhamu ( hasa ya Kiutendaji ) na Maadili Kumomonyoka Tanzania ilimuhitaji zaidi Yeye ( Hayati Dkt. Magufuli ) kuliko Yeye alivyokuwa akiihitaji na akituhitaji Watanzania.
Sijasahau Hoja yangu Kuu hapa na nauliza tena kwanini Watanzania tulifichwa Kuugua kwa Hayati Rais Dkt. Magufuli ila tukawahi Kutangaziwa tu Kifo chake?
Membe is on record kuonya vyombo husika vya kuteua candidates wa Urais, wasije teua tena watu wenye traits za kukosa Utanzania.Natabiri tu serekali ijayo itakuja kutaja walio muuwa jpm
Aliyemuua ni coronaNatabiri tu serekali ijayo itakuja kutaja walio muuwa jpm
Kikurya hiki?Mora amagh’ana ghaho kumbe ole umisimbete…
Kikurya hiki?
Ndo nasikia leo hili kabila. Mkoa gani?Kiungurimi best…
Ndo nasikia leo hili kabila. Mkoa gani?
Oh asante kunijuzaMara best…
Oh asante kunijuza
Ngoja nikuje pm tusiharibu uzi wawatu [emoji4]Twende tukale kichuri [emoji13]
jamaa jua kuwa nimekutukana tusi kubwa sana ambalo naweza fungwa kifungo na bakola juu.
Waliogopa angepona angewafukuza Kazi wote
Aliyekuwa anamuogopa Hayati Magufuli basi ni lazima alikuwa sio muwajibikaji.Nimekuelewa lakini ndipo sasa inahitajika Katiba kuweka Sawa mambo kama hayo, haiwezi mtu aamue kufukuza watu sababu ya mtazamo wake tu au hasira zake n.k.
Lakini kuwe na Organ (s) za ku review na ku approve au kupinga kwa vigezo.
Jamaa walikuwa wanamuogopa kupita kiasi, wanaume kwa wanawake waliufyata!
Hivi kwanini ilifikia hatua hiyo?
Hakuogopwa yeye bali mabunduki yaliyobebwa na wazee wa kufuata amri. Nje ya mabunduki mbona ni mweupe sana hakuwa na uwezo hata kupigana na mie.Nimekuelewa lakini ndipo sasa inahitajika Katiba kuweka Sawa mambo kama hayo, haiwezi mtu aamue kufukuza watu sababu ya mtazamo wake tu au hasira zake n.k.
Lakini kuwe na Organ (s) za ku review na ku approve au kupinga kwa vigezo.
Jamaa walikuwa wanamuogopa kupita kiasi, wanaume kwa wanawake waliufyata!
Hivi kwanini ilifikia hatua hiyo?
Aliyekuwa anamuogopa Hayati Magufuli basi ni lazima alikuwa sio muwajibikaji.