Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Inashangaza sana
 
Bado haujajibu swali.
Kwanini walificha?
 
Matola, waliokufa ni wafanyakazi wenzie tu? Mbona wake zao wapo na wanaishi? Mbona hata mamake JPM yu hai (pamoja na udhaifu wa afya yake?).
Bado maswali ni mengi kuliko majibu.

Vv
We jamaa mjinga sana! Kwani wote wanaoumwa wanakufa? Mbona huulizi kwa Wengine wanaougua na hawafi Ila Kuna wanaougua na kufa?

Nyie jamaa ni washamba sana! Kwa iyo nyie kwenu kila kitu ni kuhisi vibaya tu?

Ndo mana kwenu mnaua vikongwe kuwasingizia wachawi kwa sababu wana macho mekundu wapuuzi nyie
 
Yote ya nini?
Kashitaki kituo cha polisi!
 
Matola, waliokufa ni wafanyakazi wenzie tu? Mbona wake zao wapo na wanaishi? Mbona hata mamake JPM yu hai (pamoja na udhaifu wa afya yake?).
Bado maswali ni mengi kuliko majibu.

Vv
Nadhani watu wanasahau kuwa brain ya mwanadamu ina pattern...Huwezi ku cook kitu usigundulike kwasababu ya hiyo pattern ya thinking...Kuna sehemu pattern itaonekana tu...Watu ambao wamebobea kwenye analyses haichuki dakika kugundua kama hii ni random au patterned...Ni kama mtoto akitaka kusema uwongo...Any way bado haimaanishi haiwezi kutokea...Just thinking loud.
 
Matola, waliokufa ni wafanyakazi wenzie tu? Mbona wake zao wapo na wanaishi? Mbona hata mamake JPM yu hai (pamoja na udhaifu wa afya yake?).
Bado maswali ni mengi kuliko majibu.

Vv

Kaka Umemuwekea Matola Analysis Nzito mnoo kukujibu[emoji3516][emoji41][emoji851]
Mpaka nimejilaumu kwanini nimesoma huu uzi.
 
Mm hua najiuliza kwann watoto wa jpm hawana viherehere, kwa kweli nia ajabu sana hakubeba vichwa juuu kama wale.
 
[emoji871][emoji871][emoji871] Mkuu wewe ujue hizi habari afu TISS wasijue?? Hii nchi ngumu kweli kweli. Hapo ukute uko ILEMELA umetulia kwenye kijiwe cha Kahawa.
Kwan mkuu huyo unayemuuliza swali hilo unamfahamu? Je kama ni haohao TISS
 
Iliwafichaficha kuugua kwa huyo marehemu wenu?Ulitarajia iwekwe wazi wakati huyo marehemu wenu alikataa uhuru na uwazi, na kila kitu cha utawala wake kilifanyika kwa siri?Corona ilikua ni siri,mauaji na kuteka watu kwa siri, kila kitu kilifanywa siri,ukiongea unapotezwa wanataka iwe siri,serikali ya huyo marehemu wenu ilikopa hadi kwa siri

Jee ni uwazi gani uliutaka ewe mpendwa nyaningabu?Naona umemtag pascal oooh Push gang bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa ndo unayajua haya?Hukuyaona hayo wakati wa huyo marehemu wenu?
 
Mkuu usitukumbushe machungu ya kuondokewa na jemedari wetu. Hata hivyo nahodha aliepo sasa ana weledi na ujuzi unaofanana na alietangulia. Kwahiyo tuna imani atatufikisha salama safari yetu.
Mwendazake naye alikua jemedari?upsss!!!
 
Baada ya tozo la miamala kugonga mpaka usukumani, kwa sasa 80% ya wasukuma waanamini huenda hichi kimama kilihusika kumuangamiza jiwe. Kifo cha jiwe bado ni fumbo la majonzi kwa ngosha wengi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngacheka wallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…