Kwanini Serikali ilituficha kuugua kwa Dkt. Magufuli?

Ila jamani si aliutangazia umma?
Labda swali liwe kwa nini alichelewa kutangaza. Au kwanini hakuutangazia umma kwamba Rais ni mgonjwa na amelazwa
Mkuu, siwezi kusema hujui kusoma, labda niseme hujui kuelewa. Nyani Ngabu ameeleza vizuri hapo, wewe unauliza maswali gani? Kipi hukuelewa hapo?
 
Mfumo wa kulipia tsh 1000 kwa mwezi kupitia luku yako?
Hapana.Napinga wapangaji kulipia kodi za majengo ambayo hawamiliki na nimeamua kuungana nao kuonyesha kuwa sikubaliani na unyanyasaji huu.Nikikaa kimya leo na kesho ikiwa ni zamu yangu ya kunyanyaswa nitakosa mtu wa kunipigania/kunisemea.Kilio cha jirani yangu ni kilio changu.
 
Unamaanisha nn

Sent using Jamii Forums mobile app
Definition ya Serikali ni group la watu waliochaguliwa na watu kwa ajili ya kutetea maslahi ya watu hao.(Government of the people, by the people, for the people)

Kikundi cha majambazi wa wizi wa kura kinachoongoza watu hapa Tanzania kimekosa sifa zote kuu mbili:

1.Hiki kikundi cha ugaidi hakijatokana na watu.Hakina kibali cha wananchi.

2.Hakitetei maslahi ya wananchi.

Kwa sababu kikundi hiki cha ugaidi kimekosa sifa kuu mbili za kuitwa Serikali hakiwezi kuitwa ni Serikali.
 
You are splitting hairs!

Who was in-charge of the government while President Magufuli was unable to perform his duties as president?

Swali ni sahihi kabisa. Samia was a ‘heartbeat’ away from the presidency, literally and figuratively, no pun intended.

Aliyetutangazia kifo chake alikuwa ni nani? Ni Magufuli mwenyewe au?
 
SALIM KIKEKE anaandaliwa kuichukua TBC na Ayu Ryoba anapelekwa UBALOZINI .
Salim aliandaliwa maswali na mama aliandaliwa majibu.
 
You are splitting hairs!

Who was in-charge of the government while President Magufuli was unable to perform his duties as president?
No surprises here, that's why you happen to have all the right answers: the sheboon and the gay porch monkey who happens to be none other than thyself.
 
Unapinga mpangaji kulipa kwa niaba ya mwenye nyumba si ndio?
Hio ndio vita yako na si serikali kupata tsh 1000. Vita yako ni kuwa hiyo pesa isitoke kwa mpangaji. Ni sawa?
 
SALIM KIKEKE anaandaliwa kuichukua TBC na Ayu Ryoba anapelekwa UBALOZINI .
Salim aliandaliwa maswali na mama aliandaliwa majibu.
Kikeke hawezi unafiki wa kiwango kile. Rejea ya Tido Mhando yalimshinda.
 
Nadhani walitaharuki, sababu kwa miaka mitano walilazimisha kutuaminisha kwamba magu ni mungu, sasa inahitaji ujasiri kwelikweli kusema mungu anakaribia kufa.
 
Unapinga mpangaji kulipa kwa niaba ya mwenye nyumba si ndio?
Hio ndio vita yako na si serikali kupata tsh 1000. Vita yako ni kuwa hiyo pesa isitoke kwa mpangaji. Ni sawa?
Ndiyo.Lakini kuna mengine pia kama nyumba kuwa na luku zaidi ya moja,watu ambao luku zao hazimo kwenye nyumba bali ni kaeneo cha kazi huko nje,na kadhalika.Napinga madhila yote ya sakata hili
 
Wasukuma again!!!ebu wacha ukabila wako bhana
 
Yeye na PM walitukosea sana sisi wapigakura wa nchi hii.
Ndugu,
Matendo ya hao viongozi katika nyakati muhimu kama hizi, ilikuwa ni alama tosha (kwako) kuwa wapo wanaowapa KURA na hata 'kula'.
Sio wewe wala wananchi kama ambavyo mmekuwa mkiaminishwa na kuamini.
Sasa hivi twaendelea kudondoshewa alama za ziada; Kodi ya majengo, tozo ya miamala, bei kupanda na mengi mengineyo.
 
Ndiyo.Lakini kuna mengine pia kama nyumba kuwa na luku zaidi ya moja,watu ambao luku zao hazimo kwenye nyumba bali ni kaeneo cha kazi huko nje,na kadhalika.
.
Kujitoa kwa ajili ya nchi kwa njia ya kodi hakujawahi kuwa jambo jepesi kwa wafanyakazi na wafanyabiashara ila wanyonge hawawezi kuelewa kwa wepesi.

Mfano wewe, unapigana kuhakikisha mpangaji hakusanyi tsh 33 kwa siku ya serikali kutoka kwa mwenye nyumba ila hujawahi kuwa na tatizo na mfanyabiashara kuikusanyia serikali VAT ya 18% ya mauzo yake ya kila siku na akisahau kuituma kwa wakati alipe adhabu ya 225,000/= per month plus interest.

Huyu anatumia muda wake, nguvu zake, resources zake kuhakikisha anaikusanya hiyo kodi na inafika kwa serikali bila malipo na akichelewa anaadhibiwa.

Pamoja na madhara ya hizi tozo, wanyonge ni wakati sasa wa kujua tafsiri ya neno kodi ili ukisikia mfanyakazi analalamika au mfanyabiashara analia basi uelewe kilio hicho maana yake ni nini.

Kwa sasa wewe pigana maana umezoea kuwa kuna watu ndio wanatakiwa wateseke na kodi za hii nchi wengine wanufaike na hospitali, barabara sababu wanaitwa wanyonge.

WENGINE WAELEWA TULIPE KODI MPAKA MBADALA UTAKAPOPATIKANA.
 
Kumbe umeelewa vizuri namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…