Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?