Ajari zinapotokea hasa zile zenye ishara ya uhuni wanapoteza ushahid kwanini?Kweli. Likitokea tatizo mfano ajali, tutaanzia wapi kureport.
Kuna watu wanajiona miungu watu, bila huruma wala nn wanabandika kwa clippers flani izo number plate.
Hii kitu imekuwa very common halafu wanasumbua sana barabarani, muda mwingine unakuta hayo magari yako na vibinti vidogo vya chuo kwenye mahotel na lodgingsAsilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Kwa jeuri yao hawatakujibu.....Ajari zinapotokea hasa zile zenye ishara ya uhuni wanapoteza ushahid kwanini?
Serikali iliyopo madarakani imebariki mambo mengi na ya hovyo kabisa. Imebariki kuuwa watu wasio na hatia, imebariki kutekwa kwa wapinzani na wakosoaji, imebariki ushoga Na kila laana.Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Ni aidha wanazitumia kwa uhalifu au wanaogopa kutokana na matendo yaoKweli. Likitokea tatizo mfano ajali, tutaanzia wapi kureport.
Kuna watu wanajiona miungu watu, bila huruma wala nn wanabandika kwa clippers flani izo number plate.
MmhSerikali iliyopo madarakani imebariki mambo mengi na ya hovyo kabisa. Imebariki kuuwa watu wasio na hatia, imebariki kutekwa kwa wapinzani na wakosoaji, imebariki ushoga Na kila laana.
Za Serikali zinaanza kupata usajili kwa namba za serikali halafu taasisi husika labda kutokana na shughuli zake ndiyo wanaweza kusajili namba fiche kama ni lazima au ni muhimu kufanya hivyo.Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
1. Kwahiyo ukibadilisha plate namba unaruhusiwa kubaki na ya zaman ikiwa inasoma usajili?Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Asilimia 90 ya magari hasa mashangingi ya serikali yana namba mbili mbili?
Yaani ni hivi namba Moja utakuta inasoma vizuri tu STL/SU/W/NW/DFPA n.k lakini ukitazama kuna namba nyingine FEKI huwa inafichwa na kutumika kwenye gari ile ile ikisomeka kwa namba za kawaida kama magari mengine T ....AKZ / BPA/ CAG/DAF n.k
Serikali ituambie imebariki mambo hayo ya kihuni kwa faida gani?
Je sheria ya usalama barabarani inatambua matumizi ya namba mbili kwenye gari moja?
Katika mpango wa kupunguza utekaji na matumizi mabaya ya mafuta magari ya serikali; TAMISEMI haioni ni wakati sahihi kuyapaka rangi za taasisi kulingana na nembo zao?
Hii nchi ndo utaona kuwa viongozi mna dharau sana,kila kiongozi anajiona yeye ndo mwenye uwezo wa kuelimisha wtu.Dah .
Ngojeni niwaeleshe, Gari yoyote inayoingia nchini lazima isajiliwe kwa plate number za kawaida.. zile tunazozijua za T454 EGF(mfano).. alafu kisha ndiyo kama za serikali zinapewa Hizo namba zao za STM,. Kwahyo zile za serikali ubandikwa wakati tayari hizi gari zina plate no. Za kawaida za mfumo wa nchi..
Na gari ya waziri mkuu,mkuu wa majeshi wanafanya hivyo?wala la kubadili namba limeruhusiwa kisheria endapo mhusika/mwenye cheo mfano mkuu wa mkoa hayumo ndani ya hyo gari hivyo dereva hutakiwa kubadili namba na kuweka namba iliyokuja na gari ama namba inayotambulika na ofisi.
Shangaa na weweNa gari ya waziri mkuu,mkuu wa majeshi wanafanya hivyo?
Kwanini kusiwe na bendera,endapo huyu kiongozi hayupo,bandera isiwekwe and vice versa?
Nondo katekwa na namba feki, kibao alisombwa na gari ya serikali namba feki, wewe huoni shidaPeople have too much time on their hands .
Hili nalo la kufungulia uzi?
Si kila cheo kina mamlaka ya kupeperusha bendera ndo maana plate no inatumika kuonyesha ni mtu gani aliyebebwa na ana mamlaka gani.Na gari ya waziri mkuu,mkuu wa majeshi wanafanya hivyo?
Kwanini kusiwe na bendera,endapo huyu kiongozi hayupo,bandera isiwekwe and vice versa?
Si kila cheo kina mamlaka ya kupeperusha bendera ndo maana plate no inatumika kuonyesha ni mtu gani aliyebebwa na ana mamlaka gani.
Refer tukio la Nape.
Alivyoenguliwa akiwa mlimani city gari ileilibidi usiku ule ule irudi wizarani dodoma lakini ikiwa na plate no za kawaida sababu hapakuwa na waziri tena