Kwanini Serikali imekuwa kimya sana kwa wazee wa Simba na Yanga

ukweli ndio huo hizi team ni zaidi ya vilabu vya mpira.
Ni magenge ya siasa
 
MO na yeye analeta viulizo vingi, kama makubaliono yalikuwa atatoa 20bn apewe 49% ya hisa kwa nini saivi anageuka na kusema thamani ya majengo ya Simba ni 3bn , thamani ya Simba si majengo tu, kuna brand nyuma yake, Simba ni brand kubwa kama inshu ni majengo tu atoe 3bn akanunue majengo yoyote aanzishe timu yake Azam tu.
 
Povu hili
 
Huyo mzee sio mjinga kuna watu na akili zao wapo nyuma yake na siku ukiwajua hautoamini mzee n Kama mpiga filimbi


Mwenyekiti wetu ashalijua hilo ndio maana sasa hapigi kelele amuulize manji

Nikuongezee kitu baada ya zile alama za taifa Ongeza na simba na yanga pia
 
Mo alitumia Simba kujitangaza Africa mzima na dunian amelipia Nini . Mileage aliyojipa bila malipo Ni kubwa mno.
 
Sasa huyo mpuuz moo kwani sisi tumemulazimisha aje mzamini si aende zake huko na utapel wake
 
Acha kuilinganisha chelsea ni vitu kwa kipumbafu pumbafu kama simba na acha kumlinganisha roman abromovich na wapuuz kama moo
Watu mmekuwa mbumbu sana elimu ni muhimu sana.Simple question Abromovich yuko chelsea kwa maslai ya nani?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…