Kwanini Serikali imekuwa kimya sana kwa wazee wa Simba na Yanga

Kwanini Serikali imekuwa kimya sana kwa wazee wa Simba na Yanga

UKWELI NI HUU,HATA SIKU MOJA SERIKALI HAITAKI HIZI TEAMS ZIWE STRONG KUPITIA MTU MMOJA,YALE YA MOISE KATUMBI NA TP MAZEMBE YAKE KUWA WORSHIPPED KAMA MUNGU HADI KUTAKA URAISI NI SOMO TOSHA.KINA MO DEWJI KINA MANJI HAWAKUBALIKI HATA SIKU MOJA KUWA JUU YA HIZI TEAMS THATS WHY HAT WALINYIMWA KUPATA SHARE YA 51 PERCENT WAKALAZIMISHWA KUWA NA 49.HIVYO VIZEE SIYO VIJINGA KUNA WATU NYUMA YAO
ukweli ndio huo hizi team ni zaidi ya vilabu vya mpira.
Ni magenge ya siasa
 
MO na yeye analeta viulizo vingi, kama makubaliono yalikuwa atatoa 20bn apewe 49% ya hisa kwa nini saivi anageuka na kusema thamani ya majengo ya Simba ni 3bn , thamani ya Simba si majengo tu, kuna brand nyuma yake, Simba ni brand kubwa kama inshu ni majengo tu atoe 3bn akanunue majengo yoyote aanzishe timu yake Azam tu.
 
Povu hili
 
Huyo mzee sio mjinga kuna watu na akili zao wapo nyuma yake na siku ukiwajua hautoamini mzee n Kama mpiga filimbi

Mwenyekiti wetu ashalijua hilo ndio maana sasa hapigi kelele amuulize manji

Nikuongezee kitu baada ya zile alama za taifa Ongeza na simba na yanga pia
 
Mkuu unataka serikali iingilie maamuzi ya club?? Hivyo vilabu havina chombo cha maamuzi (mkutano mkuu). Labda nizungumzie kuhusu simba, hivi simba ina mdhamini au mwekezaji?? Halafu kuna jambo sijaelewa, mnasema mo anahisa ya asilimia 41 na wanachama 51 je katika hizo 51 za wanachama wamefanya nn mpaka leo labda kulipa mshahara au kusajili mchezaji yeyote?? Kugharamia uendeshaji wa timu?? M naona mumuuzieni tu mo hiyo timu.
Mo alitumia Simba kujitangaza Africa mzima na dunian amelipia Nini . Mileage aliyojipa bila malipo Ni kubwa mno.
 
Sasa huyo mpuuz moo kwani sisi tumemulazimisha aje mzamini si aende zake huko na utapel wake
Tuongee kitaalamu, MO ni mwekezaji sawa, shareholder mwenzake ni wanachama, makubaliano aweke bilioni 20 kwa 49%,wanachama ukasema Mali zenu zinafikia B 22 ambazo hisa zenu 51% lakini tathimini ya mali za wanachama B 3.8 ,haya turudi kimahesabu ratio iko wapi, haya mwenye B 20 kasema lete hati yenu pamoja na mtaji wenu mdogo, ninyi mnataka aweke pesa ninyi muweke maneno si bora anunue bank!
 
Acha kuilinganisha chelsea ni vitu kwa kipumbafu pumbafu kama simba na acha kumlinganisha roman abromovich na wapuuz kama moo
Watu mmekuwa mbumbu sana elimu ni muhimu sana.Simple question Abromovich yuko chelsea kwa maslai ya nani?
 
Huyo mzee sio mjinga kuna watu na akili zao wapo nyuma yake na siku ukiwajua hautoamini mzee n Kama mpiga filimbi

Mwenyekiti wetu ashalijua hilo ndio maana sasa hapigi kelele amuulize manji

Nikuongezee kitu baada ya zile alama za taifa Ongeza na simba na yanga pia
IMG-20190613-WA0000.jpeg
 
Back
Top Bottom