Kwanini Serikali imeshusha bei ya bia huku bidhaa muhimu zikiwa ghali?

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?

"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.

20210713_022607.jpg
20210713_022601.jpg
 
Do you think they care? Wanaangalia VX zao watajazaje mafuta na watajiongezea vipi mishahara minono that's all they care..

Bunge la chama kimoja hapo hakuna kitu ni business as usual. Wanachojadili kwenye vikao vya chama ndio wanatumia bunge kama rubber stamp tu.

Ukishajadili kwenye chama huwezi kuibuka bungeni kupinga. Expect the expected results.
 
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?

"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga https://t.co/WmNCGQjU8m
Aghari ndio kitu gani?
 
Kimsingi lobbying inafanyikaga wakai wa budget sababu hakuna misamaha ya Kodi so wanachofanya wanamuhonga waziri akomalie kupunguza Kodi kwenye bidhaa fulani halafu Ile deficit inajaziwa sehemu nyingine kama mlivyoona mwaka huu.

Hapo kuna mtu ana mazao ya kutengeneza bia, mostly barley sasa wanahakikisha anauza kwa faida so Kodi inapelekwa kwenye simu na mafuta, wao wanapiga hela mwaka huu.

Ushenzi mtupu. Wanataka mlewe bia za 1500 msahau shida zenu.

Mpe masikini Pombe asahau shida zake kwa muda. That's how it works. This is a gang world theres no place for the innocent.
 
Mama Samia anatujua sana Watanzania alipoambiwa kuwa tuna kiu ya HAKI yeye akasema wanakiu ya BIA hao ndio ikawa..Mwigulu waondolee kodi hao wakate kiu...
 
Simply kwasababu wakipandisha mnalalamika sana sasa mmeshushushiwa ili muache kulalamika.
 
Do you think they care? Wanaangalia VX zao watajazaje mafuta na watajiongezea vipi mishahara minono that's all they care..

Bunge la chama kimoja hapo hakuna kitu ni business as usual. Wanachojadili kwenye vikao vya chama ndio wanatumia bunge kama rubber stamp tu.

Ukishajadili kwenye chama huwezi kuibuka bungeni kupinga. Expect the expected results.
katoka bungeni amekunja zaidi ya milioni 100 kwa kipindi cha miezi 3, shida anaziona kwenye vitandao ya kijamii pekee
 
Baada ya mbasi kuanza kupandisha nauli yakidai mafuta yamepanda Bei.Nikagundua enzi za matajiri kuishi Kama wako Jehanamu umepita Sasa ni wakati wa wananchi wa chini kuongeza matundu ya mikanda.
 
MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?

"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.

View attachment 1851198View attachment 1851199
Bia gani zimeshushwa bei mbona tunakamua kwa bei ile ile....!!!!
 
Baada ya mbasi kuanza kupandisha nauli yakidai mafuta yamepanda Bei.Nikagundua enzi za matajiri kuishi Kama wako Jehanamu umepita Sasa ni wakati wa wananchi wa chini kuongeza matundu ya mikanda.
CCM inafurahia sn ikiona masikini wanaongezeka
 
Kwa sababu miaka yote wanywaji tumekuwa tukipandishiwa kodi hatujawahi kulalamika, kushushiwa kodi mara moja tu nyie mnaokunywa mirinda nyeusi mmeanza kuona nongwa, shindwa pepo wa lumumba mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom