Kwanini Serikali imeshusha bei ya bia huku bidhaa muhimu zikiwa ghali?

Kwanini Serikali imeshusha bei ya bia huku bidhaa muhimu zikiwa ghali?

Tusizungumze kwa ujumla ujumla.tozo ya bia imeshuka kwa kiwango gani?

Taarifa ni kwamba tozo ya bia imeshuka kwa shilingi 50 tu kwa chupa moja.

Awali tozo ya chupa moja ya bia ile ndogo yenye ml 350 ilikuwa sh 267

Leo wameshusha hadi 217 kwa chupa moja

Afterall, mauzo ghafi ya pombe aina ya bia yalishadrop mno

Ndio maana toka 2014 tozo ya bia imekuwa stable sana kwasab mauzo kushuka

mpaka kampuni zikalazimika kuleta ubunifu wa chupa ndogo kwa bei wezeshi tofauti na zaman
 
Kwa sababu ndio kinywaji pekee wanachoburudika nacho viongozi siku za wikendi. Hawana haja na bei za vifaa vya ujenzi, kununua magari, kuvuta maji na umeme, bima za afya, kununua petroli au dizeli maana vyote hivyo wanalipiwa kwa kodi za wanyonge.
 
Back
Top Bottom