Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Aghari ndio kitu gani?MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga https://t.co/WmNCGQjU8m
Kimsingi lobbying inafanyikaga wakai wa budget sababu hakuna misamaha ya Kodi so wanachofanya wanamuhonga waziri akomalie kupunguza Kodi kwenye bidhaa fulani halafu Ile deficit inajaziwa sehemu nyingine kama mlivyoona mwaka huu.MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga https://t.co/WmNCGQjU8m
Waongo hawaNi wapi huko bia zimeshuka bei, nyieee..!![emoji36]
Kunywa bia acha kelele bia zinaongeza uwezo wa kufikiri alaaa...pamoja na kiinglish ...Mipango mizuri hufanyika bar/grocery mazee na ndo chanzo changamoto ya Inji hi na nyingi ambazo zimeendeleaSemeni Zimeshuka Pande Ipi? Wenzenu wana Kiu mjue...!
katoka bungeni amekunja zaidi ya milioni 100 kwa kipindi cha miezi 3, shida anaziona kwenye vitandao ya kijamii pekeeDo you think they care? Wanaangalia VX zao watajazaje mafuta na watajiongezea vipi mishahara minono that's all they care..
Bunge la chama kimoja hapo hakuna kitu ni business as usual. Wanachojadili kwenye vikao vya chama ndio wanatumia bunge kama rubber stamp tu.
Ukishajadili kwenye chama huwezi kuibuka bungeni kupinga. Expect the expected results.
CCM inataka walevi wengiMBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
View attachment 1851198View attachment 1851199
WaongoooNaomba tujulishane, bia gani imepungua bei ?
Bia gani zimeshushwa bei mbona tunakamua kwa bei ile ile....!!!!MBUNGE ARUDI JIMBONI,AULIZWA KWANINI WAMESHUSHA BEI YA BIA?
"Naipongeza bajeti ya serikali japo kuna mahali imeteleza yaani serikali inaongeza bei za mafuta na mabati lakini inashusha bei ya bia kwa nini"Joseph Haule mkazi wa Iwela mbele ya mbunge wa Ludewa,Njombe Joseph Kamonga.
View attachment 1851198View attachment 1851199
CCM inafurahia sn ikiona masikini wanaongezekaBaada ya mbasi kuanza kupandisha nauli yakidai mafuta yamepanda Bei.Nikagundua enzi za matajiri kuishi Kama wako Jehanamu umepita Sasa ni wakati wa wananchi wa chini kuongeza matundu ya mikanda.