Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,335 Reaction score 29,114 Jul 13, 2021 #21 Babati said: CCM inataka walevi wengi Click to expand... Ili iwatawale kiulaini![emoji16][emoji16][emoji16]
Babati said: CCM inataka walevi wengi Click to expand... Ili iwatawale kiulaini![emoji16][emoji16][emoji16]
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jul 13, 2021 #22 Ncha Kali said: Ili iwatawale kiulaini![emoji16][emoji16][emoji16] Click to expand... yap
A Anonymous Caller JF-Expert Member Joined Sep 8, 2016 Posts 679 Reaction score 870 Jul 13, 2021 #23 Tusizungumze kwa ujumla ujumla.tozo ya bia imeshuka kwa kiwango gani? Taarifa ni kwamba tozo ya bia imeshuka kwa shilingi 50 tu kwa chupa moja. Awali tozo ya chupa moja ya bia ile ndogo yenye ml 350 ilikuwa sh 267 Leo wameshusha hadi 217 kwa chupa moja Afterall, mauzo ghafi ya pombe aina ya bia yalishadrop mno Ndio maana toka 2014 tozo ya bia imekuwa stable sana kwasab mauzo kushuka mpaka kampuni zikalazimika kuleta ubunifu wa chupa ndogo kwa bei wezeshi tofauti na zaman
Tusizungumze kwa ujumla ujumla.tozo ya bia imeshuka kwa kiwango gani? Taarifa ni kwamba tozo ya bia imeshuka kwa shilingi 50 tu kwa chupa moja. Awali tozo ya chupa moja ya bia ile ndogo yenye ml 350 ilikuwa sh 267 Leo wameshusha hadi 217 kwa chupa moja Afterall, mauzo ghafi ya pombe aina ya bia yalishadrop mno Ndio maana toka 2014 tozo ya bia imekuwa stable sana kwasab mauzo kushuka mpaka kampuni zikalazimika kuleta ubunifu wa chupa ndogo kwa bei wezeshi tofauti na zaman
MWANDENDEULE JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 4,099 Reaction score 7,466 Jul 13, 2021 #24 Kwa sababu ndio kinywaji pekee wanachoburudika nacho viongozi siku za wikendi. Hawana haja na bei za vifaa vya ujenzi, kununua magari, kuvuta maji na umeme, bima za afya, kununua petroli au dizeli maana vyote hivyo wanalipiwa kwa kodi za wanyonge.
Kwa sababu ndio kinywaji pekee wanachoburudika nacho viongozi siku za wikendi. Hawana haja na bei za vifaa vya ujenzi, kununua magari, kuvuta maji na umeme, bima za afya, kununua petroli au dizeli maana vyote hivyo wanalipiwa kwa kodi za wanyonge.