kWANINI SERIKALI INAFANYA SIRI KATIKA MAMBO MUHIMU NA MSINGI KATIKA MASUARA YA ELIMU MFANO POST?

daveposta

Member
Joined
Feb 19, 2011
Posts
52
Reaction score
8
Katika hali ya kushangaza serikali imekua inaweka usiri mkubwa sana katika swala zima la mambo ya elimu mfano kutolewa kwa post ambazo zimeleta athali kubwa kwa vijana wengi hasa wale walioamini post zinatoka mwezi january waliacha vibarua vyao wakiamin mda si mrefu wanaenda makazini ambapo wamejikuta wakitangatanga kwa kukosa hata pesa ya vocha.

lakini kama serikali kupitiawizara yake ya elimu ingeweka wazi hakika ingewasaidia sana vijana hawa kwani mpaka sasa wangekua kwenye ajira zao wakipata angalau senti za kununulia mafuta na kuwafanya wasikabe au kuuwawa na bodaboda
 
Napata wasiwasi mwingi kuamini kama na wewe ni mwalimu unaesubiri kupangiwa kituo cha kazi ikiwa hata kuandika hujui.naishauri serikali ichukue muda mrefu sana kuchambua walimu wenye sifa nzuri sana na sio waajiri mtu kama wewe uje kutufundishia wadogo zetu.
 

Sizani kama umetimia wewe ndio wale wale, mimi si mwalimu na lengo langu nataka uelewe nini kipo basi
 
Wasi wasi wa nini wakati waziri katangaza mwenyewe na mda umepita?Kuwa na wasi wasi na serikali kwa kutoa taarifa na haijatekeleza bila taarifa yoyote.Huoni kama serikali inasababisha watoto waliopo mashuleni kukosa huduma ambayo ingetolewa na walimu hao elfu 28?
 
Usijali sna dada yangu kwan serikal ishawapanga walimu katika vituo vyao ila bado haijatangaza rasmi kwan wanasubili pesa za kujikimu toka hazina ili kuepusha usumbufu na maandamo ya hao waalim wapya!
 
Usijali sna dada yangu kwan serikal ishawapanga walimu katika vituo vyao ila bado haijatangaza rasmi kwan wanasubili pesa za kujikimu toka hazina ili kuepusha usumbufu na maandamo ya hao waalim wapya!

Hazina ni mbali sana mpaka wasubiri wakati walishasema tayari?
 
Kwan mwaka jana fedha za kujikimu zilitolewa kwa wakati??? ubabaishaji uko pale pale ndo maana wanaficha mtaala wa elimu!..
 
nadhani siasa pia inachangia kuwapa watu matumain ambayo hayapo, lakin pia aliyeshiba hamjui mwenye njaa
 
nchi yetu wameweka sana siasa mbele, ndugu walimu muwe wapole tu,mwisho wa siku zitatoka
 
Subila yavuta heri,cha msingi ni mahitaji ya walimu yapewe kipaumbele,mfano nyumba za kuish,mishahara mizuri,na hata kuthamin mchango wa walimu katika kulijenga taifa letu..msijali soon zitakuwa zimeachiwa.
 
Jaman 2mechoka na hyo subira ya vuta heri coz km kuvumilia 2mejtahd vya kutosha mliangalie hili bandugu!
 
Subila yavuta heri,cha msingi ni mahitaji ya walimu yapewe kipaumbele,mfano nyumba za kuish,mishahara mizuri,na hata kuthamin mchango wa walimu katika kulijenga taifa letu..msijali soon zitakuwa zimeachiwa.

Ngojangoja inaumiza matumbo CCM wanaatamia bomu
 
oy kama uko poa swaiba fanya mambo mengine! usitegemee serikali pesa yao ipo kwenye mifuko ya wakubwa! 2sidanganye ka wato ualimu wenyewe bora muuzagenge!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…