daveposta
Member
- Feb 19, 2011
- 52
- 8
Katika hali ya kushangaza serikali imekua inaweka usiri mkubwa sana katika swala zima la mambo ya elimu mfano kutolewa kwa post ambazo zimeleta athali kubwa kwa vijana wengi hasa wale walioamini post zinatoka mwezi january waliacha vibarua vyao wakiamin mda si mrefu wanaenda makazini ambapo wamejikuta wakitangatanga kwa kukosa hata pesa ya vocha.
lakini kama serikali kupitiawizara yake ya elimu ingeweka wazi hakika ingewasaidia sana vijana hawa kwani mpaka sasa wangekua kwenye ajira zao wakipata angalau senti za kununulia mafuta na kuwafanya wasikabe au kuuwawa na bodaboda