M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,956 Reaction score 3,245 Oct 18, 2020 #41 Magufuli Karibu Moshi na Arusha Tarehe 22 na 23...uje na majibu haya FAO la kujitoa... NSSF hawalipi watu Pesa zao zote Bureau De Change
Magufuli Karibu Moshi na Arusha Tarehe 22 na 23...uje na majibu haya FAO la kujitoa... NSSF hawalipi watu Pesa zao zote Bureau De Change
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 37,333 Reaction score 50,241 Oct 18, 2020 #42 MPadmire said: Pesa ipo, vitega uchumi mingii na wanachama wapya wanachangia. Ni kosa la NSSF kukaidi amri ya Magufuli ya kuahirisha kanuni mpya Hadi 2023 Click to expand... Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri.
MPadmire said: Pesa ipo, vitega uchumi mingii na wanachama wapya wanachangia. Ni kosa la NSSF kukaidi amri ya Magufuli ya kuahirisha kanuni mpya Hadi 2023 Click to expand... Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri.
M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,956 Reaction score 3,245 Oct 18, 2020 #43 PSSSF na NSSF Hawana Pesa? FAO la kujitoa? Wabunge wa CCM kweli mnataka kura kwa wanyonge na nyie mmelipwa mafao yote?
PSSSF na NSSF Hawana Pesa? FAO la kujitoa? Wabunge wa CCM kweli mnataka kura kwa wanyonge na nyie mmelipwa mafao yote?
M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,956 Reaction score 3,245 Oct 18, 2020 #44 Proved said: Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri. Click to expand... Mkuu, Ni hatari kuweka fedha zako Banki, siku unazitaka ATM inagoma kutema? Michango wamepeleka wapi? Kampeni?
Proved said: Unaamini kabisa hao Nssf wanaweza kukaidi amri ya mkuu wa nchi?...huenda kibubu hakina hali nzuri. Click to expand... Mkuu, Ni hatari kuweka fedha zako Banki, siku unazitaka ATM inagoma kutema? Michango wamepeleka wapi? Kampeni?
M MPadmire JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 3,956 Reaction score 3,245 Oct 19, 2020 #45 Watu wote walipe Pesa zao pale mikataba kuisha au kufukuzwa kazi. Rudisha FAO LA KUJITOA