KERO Kwanini Serikali inaonekana kuubana mkoa wa Kagera kielimu? Mpaka leo hakuna chuo chochote cha degree. Chuo cha kanisa kilifungiwa

KERO Kwanini Serikali inaonekana kuubana mkoa wa Kagera kielimu? Mpaka leo hakuna chuo chochote cha degree. Chuo cha kanisa kilifungiwa

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kuna jiji halina yunivasity hata moja...nyie tulieni kwanza na colleges...huko c level zenu
 
Ndugu angu ,mkoa wa kagera Kuna chuo kikuu cha university of Dar es salaam _ Agriculture.Chuo kinajengwa Maeneo ya Kijiji kangabusharo kata karabagaine tarafa kyamtwara wilaya bukoba vijijini mkoa wa kagera karibu na gereza rwamulumba ,pia serikali inaendelea kujenga matawi ya vyuo vikuu vikubwa Kila mkoa ambao kilikua hakuna kabisa mfano Lindi,kagera nk kwa hyo usijali
 
Back
Top Bottom