Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

Kwanini serikali inapunguza tozo za miamala wakati tumeshazizoea?☹️☹️

2019

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
3,130
Reaction score
4,735
Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza?

Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa 3.9k tu badala ya 5.4k sijapenda kabisa.
 
Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga...
Ikipinguza Ili kutoa wigo mkubwa Kwa watu wengi zaidi kutumia ,lakini imeweka tozo kwenye banks so mwendo ni ule ule na baada ya kelele za saizi na huko banks mtazoea tuu kama kwenye simu.
 
Ila Rais Samia akimaliza muda wake kama hajamtoa Mwigulu, Nape na Makamba, aisee atatukanwa matusi sana na mrithi wake na hawa akina Nape et al will be the end of their political career na Tanzania itawakumbuka kwa mabaya.

Maana huwezi ukamtukana Dkt Magufuli ukabaki salama, never never ni kama.

Kumtusi Mwl Nyerere
 
Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga...
Wapunguze, wasipunguze! Sisi tunasubiri tu waingie kwenye mtegobwa kuridhia uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi, ili tuweze kuwaadhibu kwenye sanduku la kura.
 
Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa...
Watu wamekimbia hizo huduma pesa hakuna kwenye makampuni ya simu siku hizi baada ya kuporomoka kwa 70% ya watu kutumia hizo huduma ...ndiyo sababu ya mabando kupandishwa .

HABARI YA CHINI YA KAPETI ZINASEMA SERIKALI ILIPO WAFUATA WAMILIKI KAMPUNI ZA SIMU KUWAULIZA KWANINI WANAPANDISHA MABANDO WAKAWAJIBU KUWA TOZO ZIMEUA UCHUMI WA HAYO MAKAMPUNI WATU AWAWEKI PESA WALA KUTOA PESA KAMA ZAMANI ...

ZAMANI WATU WALIKUWA WANAWEKA HADI MAMILIONI KWENYE SIMU ZAO...BASI NDIPO WAKAONA WATU WAMEKIMBIA HUDUMA ZA SIMU NA KUKIMBILIA BENKI SASA WAKAONA WAWEKE TOZO BENKI PIA ILI KURUDISHA PESA KWENYE HUDUMA ZA SIMU .

Hivyo usidhani wanapunguza kwa kuwajali wananchi [emoji1787][emoji1787] ukweli ni kwamba mambo yamekaza vyuma vimeumana kiuchumi mzunguko wa pesa umekufa kwenye biashara hiyo.

Hivyo kwa aibu wana punguza hizo gharama ....tuliwaambia siku nyingi kuwa siyo lazima tutumie hizo huduma..wakileta upumbavu tuna ziacha wakabisha sasa chifu mpumbavu anakiona cha moto kimyakimya
 
1-2.jpg
 
Uongozi ni kipaji. JPM alikuwa nacho
 
Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza?

Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa 3.9k tu badala ya 5.4k sijapenda kabisa.
Kuna wewe afu kuna wananchi wa chini zaidi ako remember that kuna facts and opinions ivi vitu havijawahi kufanana
 
Kuna wewe afu kuna wananchi wa chini zaidi ako remember that kuna facts and opinions ivi vitu havijawahi kufanana
Mimi siweki hela kwenye simu,mimi na wao tuna tofauti gani?
 
Back
Top Bottom