Ikipinguza Ili kutoa wigo mkubwa Kwa watu wengi zaidi kutumia ,lakini imeweka tozo kwenye banks so mwendo ni ule ule na baada ya kelele za saizi na huko banks mtazoea tuu kama kwenye simu.Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga...
Wapunguze, wasipunguze! Sisi tunasubiri tu waingie kwenye mtegobwa kuridhia uwepo wa Tume Huru ya Uchaguzi, ili tuweze kuwaadhibu kwenye sanduku la kura.Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga...
Watu wamekimbia hizo huduma pesa hakuna kwenye makampuni ya simu siku hizi baada ya kuporomoka kwa 70% ya watu kutumia hizo huduma ...ndiyo sababu ya mabando kupandishwa .Nasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa...
Kuna wewe afu kuna wananchi wa chini zaidi ako remember that kuna facts and opinions ivi vitu havijawahi kufananaNasikitika sana kuona punguzo la tozo kwenye miamala ya simu. Hii tozo tuna mwaka mmoja naa... Tumekomaa nazo na maisha yanasonga. Burundi hatujaenda na kwa sasa tunazimudu kwanini serikali inazipunguza?
Wote tumeona faida ya tozo,au miradiya tozo imekamilika? Kwa sasa eti ukitoa 100k unakatwa 3.9k tu badala ya 5.4k sijapenda kabisa.