Kwanini serikali inashindwa kulipa madeni ya ndani (extra duties, hela za overtime, malimbikizo nk) shida ni nini au Ni kujiendekeza?

Wakilipa madeni nanyie mjidai? Waacheni CCM wale keki yao, zamu yenu itafika muwe wavumilivu.
 
Na hayo malipo unataka yatoke Hazina? Ukiona hulipwi jua kuna shida kwa wakuu wako na sio serikali kuu
 
Fanyeni kazi kwa bidii acheni malalamiko, matokeo hakuna lakini maslahi mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…