tryvenak
JF-Expert Member
- Dec 13, 2017
- 248
- 298
Kwenye micro_economics nenda kasome topic ya money utaelewaNitasoma digrii za mambo mangapi mkuu ? Mambo mengine tufahamishane hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye micro_economics nenda kasome topic ya money utaelewaNitasoma digrii za mambo mangapi mkuu ? Mambo mengine tufahamishane hapa
kufahamu baadhi ya mambo ktk field ambazo huja specialize sio lazima usomee degreeNitasoma digrii za mambo mangapi mkuu ? Mambo mengine tufahamishane hapa
Wewe bwana hujui; ungekuwa unajua usingeshindwa kunifafanulia maswali hayo!Kwenye micro_economics nenda kasome topic ya money utaelewa
Ofcz yes, ila nilisoma apo nikapata mwangaWewe bwana hujui; ungekuwa unajua usingeshindwa kunifafanulia maswali hayo!
Kuna vitu ambavyo any graduate anapaswa kuvijua mojawapo ni basic knowledge ya economics Ila kuuliza ni vyema.....mimi sio mwanauchumi ila from my basic knowledge ya economics ni hivi...Nitasoma digrii za mambo mangapi mkuu ? Mambo mengine tufahamishane hapa
Asante mkuu Kwa maelezo! Vipi kuhusu swali LA pili na LA tatuPesa haichapishwagi tu kama gazeti ati kisa imeadimika. Pesa inapimwa uwepo wake kwa thamani iliyobeba.
Ndio maana hapo nyuma lipokuwa inaibiwa na kudokolewa hovyo mnajionea kuwa watu wengi walilemaa na kushindwa kushiriki katika shighuli za uzalishaji wa kiuchumi.
Ila kwa sasa inakamuliwa kwa kasi sana na kurejeshwa ilipotoka......hii itawapa watu akili ya kuitafuta kwa njia halali bila kufoji au kuiba.
Kumbuka ni mwaka wa pili tu huu tokea iadimike. Sitegemei watu ambao wameishi zaidi ya miaka 20 kwa dili za udokozi wanaweza kujirekebisha chap hivyo, itachukua muda ila watu watakaa sawa na hatimaye tutarejea katika mfumo wa kutafuta kwa kufanya kazi .
Hapa penyewe ninavyozungumza kuna biashara mpya zinafunguliwa kila uchao na watu wanafanya biashara mambo yanakwenda.
Dhamani[emoji777]Kuna vitu ambavyo any graduate anapaswa kuvijua mojawapo ni basic knowledge ya economics Ila kuuliza ni vyema.....mimi sio mwanauchumi ila from my basic knowledge ya economics ni hivi...
Ukiprint pesa unaongeza kwenye mzunguko wa fedha pesa isiyo na dhamani. Hii hupelekea mfumuko wa bei na hatimaye kudorora kwa uchumi
Jaribu kuassume serikali imeprint mabilioni ya fedha halafu ikagawia wananchi wake ...je watafanya kazi kweli?Kazi itakua si ya muhimu kwao kama ni chakula na mahitaji mengine watanunua .Je hao wakuwauzia mahitaji watukua wapi wakati kila mtu ameshapewa pande lake kapiga hivi....endelea kuimagine yatayotokea ukifanya hivyo...
Kwa hio shilingi yetu ni nyingi kuliko dollar?An increase in the quantity of money,leading to a devaluation of existing money!
Gharama zipo, na kuna viwanda vipo kabisa mataifa ya nje (sikumbuki nchi), vinalindwa sana na shughuli hufanywa kwa umakini sana. Hivyo basi gaharama za uchapishaji zipo sana tu maana pesa nayo ni kama document nyingine ya kiserikali inayotumika katika shughuli za kinaendeleo. Usiri wa kuichapisha unafanania na ule wa karatasi za kupigia kura, mitihani ya taifa, kwa maana ni nyaraka nyeti sana ambazo kuna unyeti sana katika kupatikana kwake na malipo yake hufanyikaje.Habari za weekend!
Nipo hapa napata bia huku nikitafakari sana!
Nina maswali yananiijia kichwani sipati majibu; naombeni wataalamu mnitoe tongo tongo hapa!
1. Hivi kama serikali kuna wakati huwa inafikia kuomba msaada Wa pesa kutoka Kwa matajili, je kwanini isiwe inachapisha Pesa nyingi moja kwa moja za kutosha?
2. Katika kuchapisha Pesa serikali huangalia vigezo gani? Na je kuna gharama yeyote ambayo nchi hulipa ili kuchapisha Pesa?
3. Kitu gani kinatofautisha thamani ya Pesa kutoka taifa moja kwenda jingine? Yaani kitu gani kinaleta tofauti ya thaman ya shilling elfu moja ya Tanzania iwe tofauti na Kenya?
NOTE; mwenzenu zaman nilikuwa nazan B.O.T ni kama stoo ya Pesa, ambapo baada ya kuchapishwakuchapishwa nyingi nilijua huhifadhiwa pale!