luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Usiwe mgumu kuelewa vitu vyepesi ndugu , ndani ya iyo mtaala wa nacte wana weza waka transfer techniques, toka izo shule kama IST zika fit ktk ma shule yetu ya kata mwisho wa siku tukatokomeze ili tabaka la elimu bora na bora elimu walau lipungue kwa level flan.IST wanatumia NECTA?
Mkuu sio 50M ni above 84+ Mkuu.Walimu wengi wa IST ni Wakenya, wako na mishahara 'minono' and btw, uko tayari kulipa 50m ya ada?
Hapa ndipo shida yetu, mwalimu awe mkenya awe mtanzania akipita katika mtaala wa shule husika na akawa anakaguliwa regularly kupima uwezo wake wa kudeliver always anatoa matokeo mazuri.Walimu wengi wa IST ni wakenya, wako na mishahara 'minono' and btw, uko tayari kulipa 50m ya ada?
kukopi mfumo wao ni useless, kama hakutakua na miundombinu mizuri ( vifaa vya practical vya kutosha) huko labsIngawa jamaa ana hoja yake kuwa tukopi mfumo wao full mwanzo mwisho.
Kwanini tusisaidiane na serikali katika kutatua kwanza changamoto za msingi kama upatikanaji wa madawati na vyumba vya kutosha vya madarasa kisha hayo mengine yakafuata?
Au mnasemaje ndugu zangu?
Nafikiri bado haujaelewa. Hatuchukui mtaala wao. Tunachukua vichache vinavyowafanya watoto wao wawe bora then tuna vihuiwisha ktk mtaala wetu wa shule za jamii chache kwa kuanzia. Sasa vitu vya ku transfer sio limfumo lote ni baadhi mfano TEACHING startegies/techniques, maada za kujifunza n.kMtaala wao siyo wa Tanzania
Nia ya wanasiasa wetu ni kutaka kuona kuwa the majority ya Watanzania wanapotelea kwenye ujinga ndio maana wanawapa bora elimu na si elimu bora.Hii shule ni Moja kati ya shule bora ktk kuaanda watoto level ya primary.
A full Graduate wa shule hii humlinganishi na katoto ka shule yeyote ile hapa Tz ktk communication skills...
Ni vizuri lakini pesa pia inachangia, walimu na wafanyakazi wanalipwa vizuri sana, hivyo wanafanya kazi bila mawazo, watoto mazingira wanayosomea wana kila kitu, serikali kama shule zake madarasa hayatoshi watoto hawana madawati, walimu wengine wanafundisha tu kwakuwa wapate pesa unadhani itawezekana mkuu?Nafikiri bado haujaelewa. Hatuchukui mtaala wao. Tunachukua vichache vinavyowafanya watoto wao wawe bora then tuna vihuiwisha ktk mtaala wetu wa shule za jamii chache kwa kuanzia. Sasa vitu vya ku transfer sio limfumo lote ni baadhi mfano TEACHING startegies/techniques, maada za kujifunza n.k
Wao ndio wanapaswa kutoa elimu bila malipo ili wanyonge wafaidi matunda ya Uhuru.Hii shule ni Moja kati ya shule bora katika kuaanda watoto level ya primary.
We hujaelewa mada mkuuWalimu wengi wa IST ni wakenya, wako na mishahara 'minono'
and btw, uko tayari kulipa 50m ya ada ?
Aibu naona mimiNi shule nzuri ila mitoto ya hapo nidhamu na tabia ni mbaya mno
Ili iweje?Usiwe mgumu kuelewa vitu vyepesi ndugu , ndani ya iyo mtaala wa nacte wana weza waka transfer techniques, toka izo shule kama IST zika fit ktk ma shule yetu ya kata mwisho wa siku tukatokomeze ili tabaka la elimu bora na bora elimu walau lipungue kwa level flan.