Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Utawala wa sheria?
 
Kabla ya kumkamata tuambie Raia No.Wahedi,amepatikana?
 
Tatizo CCM mnahisi rais ni mali yenu binafsi atleast yeye anauliza alipo kiongozi wake..nyie hadi mmemzushia kifo baba yake
 
Funguka anahatarishaje usalama wa nchi?anamiliki chipukizi, green guard,blue guard au red brigade.dadavua please
 
Am in love with Maria. Any connection wakuu. She's smart upstairs and an iron lady
 
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Machafuko ya Nini?itakuwa unajua zaidi.ukisisitiza Rais Yuko wapi yanatokea machafuko , ujinga mkumbwa kuwahi kusikia.
Soma katiba .
Tumezoea kumuona mh RAIS akitekeleza majukumu kwa uwazi ndio maana Kuna maswali mengi afya yake ni muhimu kwa watanzania.
 

Serikali ya majizi ya kura ichafuliwe wakati imeshachafuka?
 
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?

Tusiingie kwenye machafuko kwa kunajisi uchaguzi, tuingie kwenye Machafuko kwa kuhoji yalipo majizi ya kura?
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Lakini, "Raisi yuko wapi?" Tunataka jibu sio kumkamata muuliza swali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…