Kwanini Serikali isimkamate Maria Sarungi na kundi lake?

Katiba ya Jamhuri ya Muungano inamlinda Maria Sarungi Tsehai ila Wachunga Ng'ombe wetu huwa hawaijali
 
Akamatwe na serikali ya majizi ya kura?!
 
Hela za CCM? Watu mna akili?
 
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?

Wewe kiazi, yaani unaweza kuingia kwenye machafuko kwa sababu mtu kahoji kuhusu jambo fulani? Mbona amehoji na bado hujaingia sasa???

Adui ujinga amekukamata kisawasawa!!!
 
Daaah pole sana kwa kukosa ubongo
 
Dada pole n majukumu,umeibuka baada ya kusikia kuna teuzi karibuni
 
Waziri mkuu ameshajibu, nachotaka ni nini? Anataka tuingie kwenye machafuko?
Kama alichojibu P. M ni sahihi sasa machafuko yanakujaje? Hivi unaelewa maana ya machafuko au unaropoka tu baada ya kushiba makande?
 
Mleta mada inaonekana umeishia la saba..yaani hata Civics na DS hukuwahi kusoma..usingeleta utopolo kama huu
 
Maria hoja yake kuu ni wapi alipo Mh Rais. Na katiba inaruhusu wananchi kuuliza alipo Rais wao. Sasa wewe umekuja na eti anamzushia hebu leta hata twiti moja kuonyesha aliposhiriki kumzushia Rais.
Ni sehemu gani ya katiba imeandikwa mwananchi kuhoji alipo Rais? (weka nukuu ya kifungu hicho)

Mbona hajahoji alipo mwenyekiti wa CDM alipo na vitu vingi anaonekana kufanya katibu mkuu wake na makamu wake mwenye ukimbizi hewa?

Huwezi kuhoji kuja na mtindo wa kuhoji ukijifanya hujui alipo kwa kutumia mitanda ya kijamii ya ndani ya nchi wakati kwenye vyombo vya habari na mitandao inayodhibitiwa nje ya nchi ukitanabaisha kwamba Rais yuko wapi na anafanya nini, je hizo ni akili za mtu timamu au chuki za dhahiri zenye nia OVU?

Mbona hajahoji alipo mwakilishi/mbunge wake yuko wapi kwa kuwa ndiye kiongozi pekee aliyekaribu naye ili amwelezee shida na changamoto za eneo lake kutafutiwa ufumbuzi?

Mbona yeye na genge lake lisilo na staha wanapenda kufuatilia kitu gani mh Rais kasema kisha wanageuza maneno kinyume nyume au ukimya wake umesababisha wakose mapato kwa kusambaza taarifa potofu na zilizogeuzwa kukidhi matakwa yao?

Anataka ajitokeze ili yeye na genege lake wamdhuru kwa kuwa mwenendo wake unasadifu chuki zake binafsi?
 
Kama ungelikuwa mzalendo wa Taifa hilo ungejua kashfa za meremeta, Tangold na Deep green wahusika ni nani?..... Unajua kuwa Keby hotel ilikuwa mali NHC na sasa ni mali ya nani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…