Kwanini Serikali isipige marufuku viongozi wanaokaa na wasaidizi wao ofisini hadi usiku kuepusha vitendo vya ngono vinavyotishia ndoa za watumishi?

Serikali haiwezi kuingilia uhusiano wa kimapenzi wa wafanyakazi wake watajuana wenyewe huko. Inachojali ni kazi zake zifanyike. Habari za minyanduano maofisini haijui na haina mpango wa kujua kama kuna minyanduano
 
Utakuwa una wivu na bosi wako au bosi wako amemkula manzi yako si bure!
 
Ngoja nilie kwanza😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…