BALENSIAGA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 3,353
- 5,800
Number nafuta hilo siachi, na mazoea pia sitaki.Mkaushie. Focus na kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Number nafuta hilo siachi, na mazoea pia sitaki.Mkaushie. Focus na kazi!
Bongo kuna mambo ya hovyo snMwajiri anasema muda wa kazi ni masaa tisa; hao wanaofanya kazi usiku wanashindwa nini kumage time?
Ulaya huwezi kuwaweka watu ofisini kila siku usiku kisa umegombana na familia yako
Utakuwa una wivu na bosi wako au bosi wako amemkula manzi yako si bure!Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo
1. Ni mzizi na hivyo usubiri watumishi watoke ndipo afanye uzinzi aidha na wasaidizi wake au sometimes hata wanawake au wanaume kutoka nje ya ofisi. Huwezi kuwa bosi unakaa ofisini na watumishi wenye familia zao hadi usiku wa manane bila kuwa na agenda nao......
2. Wanakuwa na masuala ya ushirikina. Wengi wao hutumia muda wa usiku kuingiza walozi ofisini na kumwaga dawa kuwadhuru wengine.
3. Wana ugomvi kwenye familia zao na hivyo ubaki ofisini na wasaidizi wao kujifariji.
4. Wengi wana uchu wa madaraka na wanaamini kulala ofisini ni sifa ya kuwafanya wapandishwe vyeo au wateuliwe.
Sifa hizi nne si sifa njema, zinakinzana kabisa na maadili na zinapaswa kukemewa.
Ngoja nilie kwanza😭Kama ofisini kwako kuna kiongozi anaanza kazi muda ambao ninyi mnatoka ofisini lazima atakuwa na sifa zifuatazo