Kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana?

Kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana?

Kwekajr

New Member
Joined
Jan 29, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Habari wapendwa.

Hivi kwanini serikali isipunguze idadi ya watu kwenye utoaji wa mikopo ya wakinamama na vijana kutoka watu 5 hadi wa tatu?
 
Back
Top Bottom