Hauwezi kufika au hatutaki kuufikisha; Kama ni bei rahisi kuuchukua Uganda kuufikisha Kagera basi tuuchukue Kagera after all mpaka daika hii hapo Kagera na vijiji vyote Unit moja ni 100 Tshs tofauti na mtungi wa gesi tunaogawa bure lakini kwa mtumiaji utakuwa kama Tshs 300/ kwa unitUnaongelea huuhuu umeme ambao hauwezi kufika Kagera/Kaskazini mpaka Tununue Uganda/Ethiopia
Mimi ni Serikali ? Au unajua maana ya Serikali ?Ukipunguza wewe inatosha
Mtajuana wenyeweMimi ni Serikali ? Au unajua maana ya Serikali ?
Moja mimi au mtu binafsi yoyote hakusanyi wala kulipwa Kodi; (Hivyo kumpangia mtu binafsi matumizi ya pesa zake itakuwa ni udikteta na kukosa busara)
Mbili; Serikali inakusanya Kodi kwahio hio Pesa sio yake ni ya sisi walipa Kodi ambao tuna Haki ya kuongelea Matumizi yake...
Ungefahamu kwamba kila ukinunua bidhaa au kutumia bidhaa unalipia Kodi indirectly; au hizo bidhaa zina bei hio kubwa sababu kuna kodi ndani yake au hata miamala..., basi ungejua hata wewe ni mwenyewe.... i.e. Pesa Serikali inayotumia au kukopa ni YAKOMtajuana wenyewe