Kwanini Serikali isiwaambie wachungaji waponyaji wafungue ofisi hospitalini ili kusaidia Serikali matibabu

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Kama nilivyosema hapo juu,

Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.

Hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.

Ni wazo tu.
 
.
Kama nilivosema hapo juu, Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa , hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka, Ni wazo tu

Jr[emoji769]
 
Kama nilivyosema hapo juu,

Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.

hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.

Ni wazo tu.
Mgonjwa wa kweli yupo hospital
 
Mh! Umefikiri kwa kina. Wanapiga hela ndefu na hawalipi kodi.
Kama nilivyosema hapo juu,

Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.

hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.

Ni wazo tu.
 
...............Usishangae mkuu anayosema pastor hapo yote ni sahihi,wanaojiita wana imani siku hizi wanataka mambo yote yaende kimiujiza hata yale wanayopaswa kutumia akili.just imagine mtu kutaka kujenga au kuendesha gari huku kufanya kazi kwa bidii hataki huyu kweli atakuwa sawasawa kichwani mwake?

Kutaka vitu rahisi ndo maana wengine wakaambiwa wakakanyage mafuta ya baraka za miujiza wakafa 20.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Kama nilivyosema hapo juu,

Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.

hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.

Ni wazo tu.
Madaktari wako mtaani hawana kazi, kwanini msiwaajiri? yani badala ya kuajiri madaktari mnataka mteremko wa kusaidiwa na wachungaji?

Toeni ajira acheni kupenda SLOPE!!
 
Labda waweke na procedures za jinsi ya kuombea.

Kuna jamaa wanaweza hata kumrusha kichurachura mgonjwa mahututi kumlazimisha apone.
 
Back
Top Bottom