ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,850
- 6,030
Kama nilivosema hapo juu, Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa , hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka, Ni wazo tu
Aiseeee
Mgonjwa wa kweli yupo hospitalKama nilivyosema hapo juu,
Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.
hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.
Ni wazo tu.
Kama nilivyosema hapo juu,

...............Usishangae mkuu anayosema pastor hapo yote ni sahihi,wanaojiita wana imani siku hizi wanataka mambo yote yaende kimiujiza hata yale wanayopaswa kutumia akili.just imagine mtu kutaka kujenga au kuendesha gari huku kufanya kazi kwa bidii hataki huyu kweli atakuwa sawasawa kichwani mwake?Aiseeee
Madaktari wako mtaani hawana kazi, kwanini msiwaajiri? yani badala ya kuajiri madaktari mnataka mteremko wa kusaidiwa na wachungaji?Kama nilivyosema hapo juu,
Manabii mitume na wachungaji wanaponya Sana wagonjwa Katika makungamano yao, Sasa kwanini serikali isiwape vibali ili wafungue ofisi Katika mahospitali yetu, ili waweze kufanya uponyaji kwakuwa ndo pahala penye uhitaji mkubwa.
hii itasaidia kufikisha huduma kwa wahitaji kwa karibu na haraka.
Ni wazo tu.
Kwahiyo wale walio majumbani na hawana ela ya matibabu sio wagonjwa wa kweli?Mgonjwa wa kweli yupo hospital
Ugonjwa uthibitishwa hospital sio nyumbaniKwahiyo wale walio majumbani na hawana ela ya matibabu sio wagonjwa wa kweli?
huu usemi ndio unafanya wajinga wengi wapigwe vibaya mnoImani yako ndio itakayokuponya.