Huyu wanaeza kumloga kwa ukweli alosema..
Ameshaenda hospital kapimwa na hana ela ya matibabu zaidi!! je huyo si mgonjwa wa kweli kwa sababu yuko nyumbani?Ugonjwa uthibitishwa hospital sio nyumbani
Unataka wagonjwa wakanyagane
Akishaenda hospital tayari ni mgonjwa huyo ata kama yupo nyumbani DATA zake zipo hospital bado inabaki pale wagonjwa wa kweli wapo hospital kwa maana ndio wajuao nani anaumwa niniAmeshaenda hospital kapimwa na hana ela ya matibabu zaidi!! je huyo si mgonjwa wa kweli kwa sababu yuko nyumbani?
Mkuu umeelewa nilichoandika? ameenda hospital, karudi nyumbani! yuko nyumbani na sio wodini, je huyu sio mgonjwa wa kweli?Akishaenda hospital tayari ni mgonjwa huyo ata kama yupo nyumbani DATA zake zipo hospital bado inabaki pale wagonjwa wa kweli wapo hospital kwa maana ndio wajuao nani anaumwa nini
Akishaenda hospital tayari huyo ni mgonjwa wa kweli maana DATA za hospital zinamtambua , nje ya hapo hakuna utambuzi wa mgonjwa huyoMkuu umeelewa nilichoandika? ameenda hospital, karudi nyumbani! yuko nyumbani na sio wodini, je huyu sio mgonjwa wa kweli?