Akili anayo ndio maana akaweza kuwanyoosha nyie wapumbavuHiyo ni kazi ya Interpol kabisa.Huyu mtu ni muhalifu halafu hana akili wala kifua.Kama kuna wakubwa alikua anakula nao wakae chonjo.Akishikiwa pliers au moto uelekezwa kwenye korodani atatamka yoootee!
Na wale ma board guard wake kina mwarabu faighter warudishwe Tz wafunguliwe kesiNi suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn π€£ ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
mawazo safi sana haya, tukianza kuwakata wanaoenda makanisani na misikitini, moto wake utakuwa ni hatari sana...Hiyo ni UK sasa Tz ni ulimwengu mwingine, hao waliokua wanaenda kwake ndo wakuwakamata
Ila si watu weusi tuna matatizo sana π€£ yani kweli unaenda kwa mtu unaeamini anatoa huduma za kiroho, ila anakuambia kiingilio laki tano..... Daaaah na mtu anatoa, ila kiingilio cha kumuona daktari elf 20 raia hawana. Kiboko ya wachawi amevuna na amevuna sanaa mwenyewe anasema mtajua hamjuimawazo safi sana haya, tukianza kuwakata wanaoenda makanisani na misikitini, moto wake utakuwa ni hatari sana...
akamatwe kwa kosa gani mkuu?Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn π€£ ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Haya ndio maajabu ya Musa... laki tano anapewa mtu kiulaini (kisa tu Nabii wa Mungu), elfu ishirini za matibabu yake hanazo (tena ni songo mbingi haswa na lawama kibao)... inabidi sasa serikali ijifunze toka kwa hawa manabii mbinu wanazo tumia kuwaingiza waumini wao Kingi...Ila si watu weusi tuna matatizo sana π€£ yani kweli unaenda kwa mtu unaeamini anatoa huduma za kiroho, ila anakuambia kiingilio laki tano..... Daaaah na mtu anatoa, ila kiingilio cha kumuona daktari elf 20 raia hawana. Kiboko ya wachawi amevuna na amevuna sanaa mwenyewe anasema mtajua hamjui
View attachment 3084090
Aliwanyoosha aliowanyoosha.Hata kumuona sijawahi angeniibiaje sasa?Usijumlishe watu wote bila kuelewa lolote.Akili anayo ndio maana akaweza kuwanyoosha nyie wapumbavu
Msotumie hisia kuhukumu watu na kuwaita majina mabaya, kisheria utamshitaki kwa kosa gani embu tuambie?Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.
Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??
Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn π€£ ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.
Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!
Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.
Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.
Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Makosa ni mengi sana yakiwemo:akamatwe kwa kosa gani mkuu?
hakua analazimisha watu wazima na akili zao kwendea huduma yake.
TunachekeshaHaya ndio maajabu ya Musa... laki tano anapewa mtu kiulaini (kisa tu Nabii wa Mungu), elfu ishirini za matibabu yake hanazo (tena ni songo mbingi haswa na lawama kibao)... inabidi sasa serikali ijifunze toka kwa hawa manabii mbinu wanazo tumia kuwaingiza waumini wao Kingi...
Nawazungumzia walionyooshwa.Aliwanyoosha aliowanyoosha.Hata kumuona sijawahi angeniibiaje sasa?Usijumlishe watu wote bila kuelewa lolote.
Hakuna kosa hata moja linaloweza kumtia hatiani hapo ni kupoteza rasilimali za nchi kufuatilia mambo ya kijingaMakosa ni mengi sana yakiwemo:
money laundering
Mis representation
udanganyifu wa kuombea watu...etc
DPP Atoke huko mafichoni afanye kazi yake... DPP Wetu bado amelala.. labda ataamka na kufanya kazi inayompa ulaji wake wa kila siku baada ya kuona hizi video za huyu Juha wa Kongo...
Mwendawazimu? ,π³Yaani serikali itumie gharama na muda kukimbizana na mwendawazimu???
Inawezekana bado haujajua serikali ni nini,ipo pale kwa ajili gani na inawajibika kwa nani!Yaani serikali itumie gharama na muda kukimbizana na mwendawazimu???
Sawa.Inawezekana bado haujajua serikali ni nini,ipo pale kwa ajili gani na inawajibika kwa nani!
Aliwapora??? Si walipeleka wenyewe sadaka kanisani??Mwendawazimu? ,π³
Mwendawazimu anaweza kutapeli mandondocha ya Kitanzania mabilioni ya hela na kukimbilia kwao kujenga na kujitapa? No Dearie ni mhalifu.