DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwa kosa gani?
Uchonganishi anaweza kuleta ushahidi mtu anayemwambia kalogwa na mama yake mdogo? Huo uchonganishi na mafundisho hayafundishi hivyo mtu anaweza kwenda kumuua mama yake mdogo kwa kuwa kiboko ya wachawi kamwambia amemloga hii ramli chonganishi mbona waganga wanakamatwa yy ni nani achonganishe watu aachwe?
 
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.

Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.

Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??

Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.

Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!

Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.

Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.

Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Katapeli nini?

Wajinga ndiyo waliwao.
 
Hii nchi albadil ambazo zimewahi kutangazwa mtandaoni zitasomwa ninazozjiua ni mbili.

Ilikua ya Afande Sele na nyingine ilikua ni kwaajili ya mauaji yaliwahi tokea hapa nchini.
Na hizi albadil zote mbili hazikuleta matokeo waliyosema albadil huleta.

Juzi imetangazwa itasomwa albadil kwaajili ya mauaji tena. Uliona watu walivyokua wanacomment humu? Bado wanaamini albadil ndiyo dawa.

Unadhani wananchi hao watasita kumpa pesa akitokea mtu mwingine akasema ni kiboko ya wachawi? Unahisi shida ni nini?
 
Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.

Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo linalothibutisha makusudi, kiburi ,jeuri zake.

Kama Mnashindwa, kwanini Majasusi wasiingie CONGO na kuhakikisha wanamuua Mara Moja au kumrejesha Nchini ( Huu Ujinga kwann wanaufanyia Tanzania?? Hivi kweli Paul Kagame umletee Ushenzi wa namna hii Kwa Watusi wake, alafu akuache??

Kama nahili Mnashindwa, inamaana Tanzania ni shamba la bibi yaan hamna cha jasusi Wala nn 🤣 ni kuwindana wenyewe Kwa wenyewe , na kama ni Ivo basi Hongera Paul Kagame!!.

Mkishindwa kabisaa kabisaaa kabisaa, yaan kweli kuanzia Wizara mpaka Ujasusinieshindwa, Basi hakikisheni Mnapitia Upya Sheria za kusajili haya makanisa uchwara ya kishenzi ambayo Moja baada ya jingine kazi kubwa ni kuwaumiza watanzania !!

Serikali kazi kubwa ni kulinda na kuhakikisha Usalama wa Raia,, Nchi ipo ipo tuuu , Mara Vanila ,Mara Kuku, Mara vile, sahizi manabii feki, yaan Serikali haijifunzi tu??.ipoipo !!.

Inaweza kua ni Uthibitisho tosha kua RUSHWA Kwa Top officials ni kubwa sana kiasi kwamba Mfumo umekua Corrupted , ikimaanisha kua ,haya matapeli Kwa Kila aina zao, kwanza uhakikisha yanatoka Rushwaaa, ndipo yanapewa kibali.!!.

Ikishindikama basi tumuombe Kagame atusaidie !!.
Unataka watu wajipatie dhambi kwa kuua mtu? Watu wameenda kupeleka fedha wenyewe so wacha tujifunze kupitia hili. Binafsi naamini Biblia kwamba watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa, lakini Biblia inasema siku za mwisho kutatokea manabii ya wengi wauongo so hili linadhihirisha kile kilichosemwa kwenye biblia kila mtu atafakari
 
Back
Top Bottom