h.imani
Senior Member
- Oct 2, 2011
- 189
- 94
Waheshimiwa sana katika bwana.
Katika historia ya Muungano wa cnhi ya tanganyika na nchi ya Zanzibar, dhumuni na lengo la waliosaidia kuwa na muungano ilikuwa kuwa na serikali moja tu kwa maana ya TANZANIA, kama ungetaka kutofautusha kwa majina BAADA YA KUUNGANA ndani ya nchi ya TANZANIA ni kwamba hakuna Tanganyika na pia hakuna Zanzibar. Isipokuwa TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI. Lakini leo tunaitana TANZANIA BARA NA ZANZIBAR. Kimsingi hatuna kitu kinaitwa tanzania bara kama Tanzania visiwani inaitwa bado ni Zanzibar. Na' Kama Zanzibar bado ipo, basi hata TANGANYIKA INATAKIWA IWEPO.
KWANINI SERIKALI 3.
KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI KUWE NA SERIKALI 1 TU, IKIMAANISHA KWAMBA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ZOTE KWA PAMOJA ZISITAMBULIKE.
Mtazamo wangu, Kuungana kwa Tanganika na Zanzibar ilikuwa ni kwa lengo la kuwa na serikali 1 na sio 2. Naomba niwaulize, kwanini Tanganyika ifutike na zanzibar iendelee kuwepo?