Kwanini serikali tatu (3) ?

Kwanini serikali tatu (3) ?

h.imani

Senior Member
Joined
Oct 2, 2011
Posts
189
Reaction score
94
Waheshimiwa sana katika bwana.

Katika historia ya Muungano wa cnhi ya tanganyika na nchi ya Zanzibar, dhumuni na lengo la waliosaidia kuwa na muungano ilikuwa kuwa na serikali moja tu kwa maana ya TANZANIA, kama ungetaka kutofautusha kwa majina BAADA YA KUUNGANA ndani ya nchi ya TANZANIA ni kwamba hakuna Tanganyika na pia hakuna Zanzibar. Isipokuwa TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI. Lakini leo tunaitana TANZANIA BARA NA ZANZIBAR. Kimsingi hatuna kitu kinaitwa tanzania bara kama Tanzania visiwani inaitwa bado ni Zanzibar. Na' Kama Zanzibar bado ipo, basi hata TANGANYIKA INATAKIWA IWEPO.

KWANINI SERIKALI 3.

KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI KUWE NA SERIKALI 1 TU, IKIMAANISHA KWAMBA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ZOTE KWA PAMOJA ZISITAMBULIKE.

Mtazamo wangu, Kuungana kwa Tanganika na Zanzibar ilikuwa ni kwa lengo la kuwa na serikali 1 na sio 2. Naomba niwaulize, kwanini Tanganyika ifutike na zanzibar iendelee kuwepo?
 
Hapo umenena kiongozi,umewashika pabaya kinomanoma.
 
mke akiolewa anachukua surname ya mume na surname yake inapotea. that means tanganyika kinamna flani tumeolewa na kupoteza identity yetu
 
Ndoa yenyewe ya kihindi kwasababu bibi harusi (Tanganyika) ndio mtoa mahari.
Zaidi ya hapo hata matumizi anaendelea kutoa yeye miaka 50+ ya ndoa.
 
Kosa linamrudia Mwalimu Njerere kutaka kuendesha muungano kama ni mali yake binafsi na akatumia fursa hiyo kuiua Tanganyika na ikawa kuhoji muungano ni uhaini.
 
Kuna jambo mahali fulani halijakaa sawa...
 
Waheshimiwa sana katika bwana.

Katika historia ya Muungano wa cnhi ya tanganyika na nchi ya Zanzibar, dhumuni na lengo la waliosaidia kuwa na muungano ilikuwa kuwa na serikali moja tu kwa maana ya TANZANIA, kama ungetaka kutofautusha kwa majina BAADA YA KUUNGANA ndani ya nchi ya TANZANIA ni kwamba hakuna Tanganyika na pia hakuna Zanzibar. Isipokuwa TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI. Lakini leo tunaitana TANZANIA BARA NA ZANZIBAR. Kimsingi hatuna kitu kinaitwa tanzania bara kama Tanzania visiwani inaitwa bado ni Zanzibar. Na' Kama Zanzibar bado ipo, basi hata TANGANYIKA INATAKIWA IWEPO.

KWANINI SERIKALI 3.

KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI KUWE NA SERIKALI 1 TU, IKIMAANISHA KWAMBA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ZOTE KWA PAMOJA ZISITAMBULIKE.

Mtazamo wangu, Kuungana kwa Tanganika na Zanzibar ilikuwa ni kwa lengo la kuwa na serikali 1 na sio 2. Naomba niwaulize, kwanini Tanganyika ifutike na zanzibar iendelee kuwepo?

......... Wanapozidi kutuchanganya ni kwamba eti Muungano ni wa nchi mbili ni kati ya Visiwa vya Unguja na Pemba na Tanzania Bara au ni kati ya Zanzibar na Tanzania Bara ... wananikera siku myingi wanapolazimisha Tanganyika kuitwa Tanzania Bara..... wanapenda sana kutumia Tanzania Bara ..................Nakemea washindwe sisi ni TANGANYIKA tutaendelea kuiomba TANGANYIKA YETU mpaka kieleweke ................ la sivyo SERIKALI IWE 1 na Zanzibar iwe kama Mkoa, na makao makuu ya Tanzania yawe Dodoma na ofisi ndogo Unguja

Waheshimiwa sana katika bwana.

Katika historia ya Muungano wa cnhi ya tanganyika na nchi ya Zanzibar, dhumuni na lengo la waliosaidia kuwa na muungano ilikuwa kuwa na serikali moja tu kwa maana ya TANZANIA, kama ungetaka kutofautusha kwa majina BAADA YA KUUNGANA ndani ya nchi ya TANZANIA ni kwamba hakuna Tanganyika na pia hakuna Zanzibar. Isipokuwa TANZANIA BARA NA TANZANIA VISIWANI. Lakini leo tunaitana TANZANIA BARA NA ZANZIBAR. Kimsingi hatuna kitu kinaitwa tanzania bara kama Tanzania visiwani inaitwa bado ni Zanzibar. Na' Kama Zanzibar bado ipo, basi hata TANGANYIKA INATAKIWA IWEPO.

KWANINI SERIKALI 3.

KAMA SERIKALI 3 HAZITAKIWI, BASI KUWE NA SERIKALI 1 TU, IKIMAANISHA KWAMBA ZANZIBAR NA TANGANYIKA ZOTE KWA PAMOJA ZISITAMBULIKE.

Mtazamo wangu, Kuungana kwa Tanganika na Zanzibar ilikuwa ni kwa lengo la kuwa na serikali 1 na sio 2. Naomba niwaulize, kwanini Tanganyika ifutike na zanzibar iendelee kuwepo?

kwani mleta mada Tanganyika haipo? Mimi ninachojua jina Tanganyika ndiyo halipo,ILA nchi kwa maana ya nchi IPO.na mfano mdogo Tu ,tunawaziri mkuu wetu.ambaye mipaka yake kiutendaji ni Tanganyika Tu. Kwaheri
 
Back
Top Bottom