Pre GE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Pre GE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nawapongeza Chadema kuanzisha hili ila linakwenda kuijenga CCM zaidi na anaweza kuandaliwa kiongozi mkubwa awapokee kabisa na baada ya hotuba zenu akafunga mkutano kwa kuhutubia yeye!

Haya maandamano yalipaswa kutovaa sura ya chama ingawa kwasababu ya resources behind scenes chama kiratibu ili wananchi wabebe hizo ajenda wenyewe!

Baada ya maandamano haya CCM watapata sababu za kuzuia maandamano mengine kwamba mlishapewa nafasi ya kufikisha ujumbe wenu. Hivyo hata hiyo miswada itapitishwa kibabe na tutaishia kulalamika kwenye on line channel mbili tatu kwisha.

Hamshangai ghafla media zote hadi Millard Ayo wanatangaza maandamano? Watu wanalamba credit kwenye International communities then baadae ni kufinywa huku wakihubiri wanatoa uhuru kwa vyama.

Umefanya observation nzuri sana.
 
Haya maandamano yamejikita kwenye sheria za uchaguzi tu, suala la katiba limefukiwa.

..uchaguzi wa 2024 na 2025 ndio sababu ya wadau kuelekeza nguvu zaidi ktk Tume Huru.

..Naamini uchaguzi ukishafanyika madai ya katiba mpya yatakuwa kipaumbele namba 1 cha wadau wa demokrasia.
 
..uchaguzi wa 2024 na 2025 ndio sababu ya wadau kuelekeza nguvu zaidi ktk Tume Huru.

..Naamini uchaguzi ukishafanyika madai ya katiba mpya yatakuwa kipaumbele namba 1 cha wadau wa demokrasia.
Mmeingia kwenye mtego wa Ccm, maana mpaka hapo wamezika ajenga ya katiba kwa sasa.
 
Mmeingia kwenye mtego wa Ccm, maana mpaka hapo wamezika ajenga ya katiba kwa sasa.

..Ccm hawana tatizo na " katiba mpya. "

..isipokuwa kuna mambo hawayataki kabisa.

..moja wapo ni TUME HURU ya uchaguzi.

..sasa anayedai tume huru hawezi kuwa amenasa ktk mtego wa Ccm.

..wewe waambie Ccm tuandike katiba mpya lakini tume ibakie kama ilivyo sasa hivi uone kama watakupinga.

Cc Tindo
 
Katiba ndiyo sheria mama....hilo la time huru ni sehemu tu ndani ya katiba.

Kukumbatia tume huru na kuitosa agenda ya katiba mmeonyesha mna tamaa za kurudi tena bungeni tu sio kutatua mzizi wa tatizo yaani katiba mbovu
 
..Ndio na hapana.

..ukiwa practical na realistic utaona mantiki ya kudai Tume Huru ya uchaguzi sasa hivi.

..Na ili Tume iwe huru ni lazima ufanye mabadiliko madogo ya katiba ya sasa hivi.

..Naamini mazingira ya kudai Katiba Mpya tukiwa tayari na tume huru yana afadhali kuliko ilivyo sasa hivi.

..kuna mambo mengi ya kuzingatia na yanaathari ktk harakati za kudai Katiba Mpya na moja wapo ni chaguzi mbalimbali.

..Binafsi naamini mapambano ya kudai Tume Huru ni sehemu ya mapambano ya Katiba Mpya.
 
1. Hakuna chama kitakachoingia madarakani kisiipende katiba ya sasa, CHADEMA siyo malaika!. Ndiyo maana ni muhimu kuvipush vyama vyote kuwa ili kama vinataka vopate support yetu viweke mbele ajenda ya katiba mpya kwanza!

2. Ukiwapa wanasiasa reforms za kuwarahisihia kupata ubunge wao, udiwani wao na uraisi wao kamwe hawatakuwa na Interest kubwa ya kupush katiba mpya, kelele za katiba ziliintensify baada ya Magufuli kuwafanya kitu kibaya kwenye uchaguzi wa 2020

3. Mabadiliko madogo ya katiba ya sasa hayawezi kutupatia uchaguzi huru tunaohitaji maana mfumo wa uchaguzi ni machinery mtambuka, inahusu tume yenyewe, Jeshi la polisi, mahakama n.k Bila kufanya reforms ktk hayo basi uchaguzi utaendelea bado kuwa manipulated japo athari inaweza kuwa imepunguzwa kidogo

4. Kama tunakubaliana na hoja kuwa tufanye reform ndogo za katiba ya sasa basi tuwaombe radhi CCM maana huo ndiyo msimamo wao toka zamani kuwa wako tayari kufanya reform ndogondogo za katiba ya sasa kwenye mambo ya uchaguzi lakini katiba mpya siyo wakati wake. TUliwakatalia wakati huo, sijui kwa nini tunataka kuwakubalia sasa!

5. Itakuwa ni ajabu hoja za ACT wazalendo za "TUME HURU KUELEKEA KATIBA MPYA" tulizokuwa tunaziponda humu kuwa zimekaa kiuchaguzichaguzi, leo eti ndo tunaona ndiyo busara na realistic way ya kwenda.
 
Pengine tunaweza kujiuliza, kwa nini serikali ya raisi Samia wakati huu imeamua kupotezea na kuruhusu CHADEMA wafanye maandamano wakati inafahamika kuwa siku zote unapoleta ajenda ya maandamano basi serikali ya CCM huwa wanakuwa wagumu na wakali kama pilipili kuyaruhusu. Nitaeleza hapa chini kwa nini safari hii Samia na serikali yake wameamua kuyaacha yafanyike. Sababu zenyewe ni hizi.

1. Sababu ya kwanza ni kuwa , ajenda kuu za maandamano hazina athari kubwa kisiasa kwa Samia na CCM yake.

Kwa mujibu wa taarifa iliyosonwa na katibu mkuu John Mnyika mbele ya waandishi wa habari, Ajenda kuu za maandamano ambazo waliwaandikia Polisi wa Dar ni mbili
a) Miswada ya sheria mbovu za mambo ya uchaguzi
b) Hali ya ugumu wa maisha ya Wananchi.

Katika Ajenda hizo hakuna kabisa suala la KATIBA mpya
Sasa ukiangalia hizo Ajenda, kisiasa hakuna hata moja yenye uzito wa kisiasa wa kuitetemesha CCM. Tena ukichunguza vizuri ajenda ya kwanza inawaportray CHADEMA kama wenye uchu na chaguzi ili wapate nafasi za ubunge udiwani, ruzuku n.k

Tegemea kuanza kuona CCM wakiwageuzia kibao CHADEMA kwenye ajenda yao hiyo ya mambo ya uchaguzi, kwamba CHADEMA ni wasaka madaraka tu lakini hawako serious na mambo makubwa ya mabadiliko ya kweli.

2. Sababu ya Pili ni Kumuonyesha Samia kama mwanademokrasia.

Haya maandamano, yakifanyika, kitakachofuata baada ya hapo ni kumtengenezea taswira rais Samia kama mwanademokrasia, mwanasiasa mkomavu ambaye yuko tayari kuvumilia vyama vingine kutumia haki yao ya kidemokrasia kuandamana n.k. Itamjengea taswira chanya ndani na nje.

3. Sababu ya tatu, ni kupunguza fukuto la Wataka maandamano.

Yamekuwepo majaribio ya watu kutaka kuandamana kwa muda mrefu huku Jeshi la polisi likiyazima kikatili. Safari hii naona wameona wayaache ili kuoffload steam ( fukuto lipumue). Hii itasaidia kupunguza joto, mshawasha wa kutaka kuandamana, kitu ambacho ni dream ya wanadiasa na wanaharakati nchini.

4. Kwa kuruhusu maandamano katika ajenda nyepesi kunaipa serikali mtaji wa kukataa maandamano ya ajenda ngumu bila lawama kiviiile!

Zipo ajenda kuu nchini za mambo ya msingi.
1. Ajenda ya dhulma kwa Wamasai huko ngorongoro
2. Ajenda ya Katiba mpya
3. Ajenda ya Ufisadi, ubadhirifu na kutowajibishwa ipasavyo wanaofanya hayo
4. Ajenda ya Elimu mbovu
5. Ajenda ya kutapanya rasilimali za nchi kwa kuziuza bei chee na kuingua mikataba mibovu
6. Ajenda ya kumnyonya mkulima.

Hizo ni Ajenda ambazo CCM wanaziogopa na siyo mambo ya miswada ya uchaguzi. Kwa hiyo, kwa kuruhusu maandamano ya Ajenda dhaifu, Wanajiwekea kigingi cha kuzuia maandamano ya ajenda nzito zaidi kwa hojs za kiintelijensia.

5. Maandamano haya, yanawasaidia CCM kuwashusha mzuka watu ambao wako serious kuandamana kwa ajili ya katiba mpya.

Katika nchi yetu, jinsi mifumo ya kisiasa ilivyo. Ni vigumu kumobilise watu, au kufanya jambo lenye mguso wa kisiasa bila kupitia platform za kisiasa. Ndiyo maana akina Mwabukusi walipata shida sana kuandaa maadamano yao ya kudai katiba mpya na kupinga ugawaji wa bandari yetu. Hata hivyo fukuto la madai yao lilikuwa kubwa miongoni mwa Watanzania, kwa hiyo kingetokea chama cha siasa kikawa na guts za kuandamana kwa ajenda hizo bila shaka ingeweka pressure kubwa zaidi kwa serikali ya CCM. Sasa hakuna Chama kilichojitokeza kubeba ajenda hizo, bali CHADEMA imekuja na ajenda za kupapasapapasa bila kuifanya KATIBA MPYA kuwa ni AJENDA kuu. Matokeo yake watu watashushwa mzuka, Na hii itaisaidia CCM kubuy time katika danadana zake za kutotupatia katiba mpya!. Mpaka Joto la kuwapush watu kuingua barabarani tena kwa ajili ya katiba mpya lipande, itakuwa labda miaka mingine 10 ijayo!

KWA KUMALIZIA.
1. Maandamano ya Chadema yatamjenga Samia aonekane mwanademokrasia.

2. Maandamano ya CHADEMA yasiyobeba Katiba mpya kama ajenda kuu ni kama Controlled demolition ya kuzima hasira ya watu kimkakati ya kuingia barabarani kwa ajili ya katiba mpya.

3. Maandamano yasiyoogopwa na CCM hayo siyo maandamano halisi.

4. Maandamano haya yanaweza kutumika kuwaportray CHADEMA kama Flip-Floppers wakubwa. Leo wanazungumza habari za sheria za uchaguzi, wakati miaka michache iliyopita walikuwa wanasema kuwa hakuna reform yoyote ya sheria za kawaida inayoweza kusaidia uchaguzi huru na haki. Leo wanaandamana kwa ajili ya reform ya sheria hizohizo!.

Kwa maoni yangu, bila ya KATIBA MPYA kuwa ndiyo Ajenda kuu ya kila kitu, basi madai yetu yote mengine ni bure!
Mkuu, Usisahau kuwa the underlying point ni kwamba polisi ndio husabibisha, huanza na hufanya fujo!
 
..Ndio na hapana.

..ukiwa practical na realistic utaona mantiki ya kudai Tume Huru ya uchaguzi sasa hivi.

..Na ili Tume iwe huru ni lazima ufanye mabadiliko madogo ya katiba ya sasa hivi.

..Naamini mazingira ya kudai Katiba Mpya tukiwa tayari na tume huru yana afadhali kuliko ilivyo sasa hivi.

..kuna mambo mengi ya kuzingatia na yanaathari ktk harakati za kudai Katiba Mpya na moja wapo ni chaguzi mbalimbali.

..Binafsi naamini mapambano ya kudai Tume Huru ni sehemu ya mapambano ya Katiba Mpya.
🔊🆒
 
Missile of the Nation umeanza uchambuzi vizuri ila badala ya kujadili hoja na matarajio ya maandamano, ukajikita kueleza sababu za kuyaruhusu maandamano.

Hoja ya kwanza ya maandamano ambayo ni sheria mbovu, umedai kwamba haina mashiko; sawa!

Lakini hukuchambua hoja ya pili ya maandamano ambayo ni ugumu wa maisha.

Je, huoni kwamba hoja ya pili ni pana sana inayogusa Watanzania wengi, na inaweza kumeza hata hoja ya kwanza?

Hivi leo ukiwaambia Watanzania ugumu wa maisha unadhani kati ya raia 10, ni wangapi watakuambia ni magumu kama siyo 9 kati ya 10?
🔊🆒
 
Sasa hapo ndilo tatizo lenyewe. Nilimsikiliza Ulimwengu kwenye kipindi fulani online akisema kuwa wanachi wa Tanzania hawajapata shida kama za wenzao wa nchi jirani hivyo hawaoni haja ya kuandamana. Akatolea mfano kuwa mtu anayefanya kazi ya kuchimba mitalo ikifika saa sita anakwenda kwa mama nitilie anakula sahani moja ya pilao labda kwa sh 800 had 1000 wakati yule mchimba mitalo wa kenya kwake yeye ni ugali kwa sukumawiki siku zote. Hivyo maandamano kwa wakenya ni ya wanachi wenyewe huku haya yanayoandaliwa na CHADEMA ni ya CHADEMA. Serikali inaogopa maandamano ya wanachi kuliko haya ya kupangwa na vyama. Kwa mfano ikitokea leo wanafunzi wa chuo kikuu wakakaandamana, au madereva wa boda boda wote wakiandamana utaona jinsi serikali inavyohaha tofauti na haya maandamano ya chadema.
👍👌👏🙏🔊🆒
 
4. Kama tunakubaliana na hoja kuwa tufanye reform ndogo za katiba ya sasa basi tuwaombe radhi CCM maana huo ndiyo msimamo wao toka zamani kuwa wako tayari kufanya reform ndogondogo za katiba ya sasa kwenye mambo ya uchaguzi lakini katiba mpya siyo wakati wake. TUliwakatalia wakati huo, sijui kwa nini tunataka kuwakubalia sasa!

5. Itakuwa ni ajabu hoja za ACT wazalendo za "TUME HURU KUELEKEA KATIBA MPYA" tulizokuwa tunaziponda humu kuwa zimekaa kiuchaguzichaguzi, leo eti ndo tunaona ndiyo busara na realistic way ya kwenda.

..Cdm walikuwa sahihi kudai Katiba Mpya ambayo ndani yake kuna tume huru wakati ambapo muda ulikuwa unaruhusu kuipata kabla ya 2025.

..Sasa hivi tumechelewa. uchaguzi uko karibu mno, hivyo kinachowezekana ni mabadiliko madogo yatakayowezesha kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi.
 
Tunaweza kukubali kutokukubaliana.

Ila Hakuwezi kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kwa kufanya mabadiliko madogo madogo katika katiba ya sasa. Itapaswa kugusa hata madaraka ya rais ktk mambo fulanifulani na hayo siyo mabadiliko madogo!. The only way ya kupata tume huru ni Katiba mpya na si ktk katiba ya sasa!

CCM iliyoplay delay tactic kuwadanganya akina Mbowe hadi kuwafikisha hapa leo hawadai katiba mpya bali wanadai mabadiliko madogomadogo ndiyo CCM hiyohiyo ambayo haitokupa mabadiliko yoyote ya kukusaidia ktk uchaguzi wa 2025.

Msimamo sahihi wa CHADEMA ni ule wa mwanzo kuwa NO KATIBA MPYaa no KUSHIRIKI CHAGUZI. Ni msimamo mgumu, una cost yake lakini ndiyo msimamo wa kukijengea chama heshima mbele ya umma na matunda kitayaona mbele.

Uchaguzi wa 2025 wala siyo critical kuisaidia Chadema kushika dola, ila utasaidia tu kuwapunguzia njaa makada wake wakuu wanaotamani kurudi mjengoni wwkale pesa rahisi
 
Tunaweza kukubali kutokukubaliana.

Ila Hakuwezi kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kwa kufanya mabadiliko madogo madogo katika katiba ya sasa. Itapaswa kugusa hata madaraka ya rais ktk mambo fulanifulani na hayo siyo mabadiliko madogo!. The inly way ya kupata tume huru ni Katiba mpya na si ktk katiba ya sasa!

..suala sio Chadema kushika dola.

..jambo la muhimu ni tupate TUME HURU kabla ya uchaguzi wa 2025.

..pia uchaguzi wa Serikali za Mitaa usisimamiwe na Tamisemi.

..
 
Unaonekana unasikiliza lakini husikii.

Hoja ipo wazi na imetangazwa kwa uwazi. CHADEMA wanataka miswada iliyopelekwa Bungenj, ya sheria ya uchaguzi iondolewe, badala yake yapelekwe mabadiliko ya katiba kuwezesha kuzaliwa kwa sheria nzuri ya uchaguzi. Na hicho CCM hawataki.
Asante sana kwa ufafanuzi mzuri kwa hao kina Thomaso wa Lumumba
 
Tunaweza kukubali kutokukubaliana.

Ila Hakuwezi kuwa na Tume huru ya Uchaguzi kwa kufanya mabadiliko madogo madogo katika katiba ya sasa. Itapaswa kugusa hata madaraka ya rais ktk mambo fulanifulani na hayo siyo mabadiliko madogo!. The inly way ya kupata tume huru ni Katiba mpya na si ktk katiba ya sasa!

CCM iliyoplay delay tactic kuwadanganya akina Mbowe hadi kuwafikisha hapa leo hawadai katiba mpya bali wanadai mabadiliko madogomadogo ndiyo CCM hiyohiyo ambayo haitokupa mabadiliko yoyote ya kukusaidia ktk uchaguzi wa 2025.

Msimamo sahihi wa CHADEMA ni ule wa mwanzo kuwa NO KATIBA MPYaa no KUSHIRIKI CHAGUZI. Ni msimamo mgumu, una cost yake lakini ndiyo msimamo wa kukijengea chama heshima mbele ya umma na matunda kitayaona mbele.

Uchaguzi wa 2025 wala siyo critical kuisaidia Chadema kushika dola, ila utasaidia tu kuwapunguzia njaa makada wake wakuu wanaotamani kurudi mjengoni wwkale pesa rahisi
Maandamano ya jana inaonekana yamekuumiza sana hisia zako. Pole sana kada mtiifu
 
..Cdm walikuwa sahihi kudai Katiba Mpya ambayo ndani yake kuna tume huru wakati ambapo muda ulikuwa unaruhusu kuipata kabla ya 2025.

..Sasa hivi tumechelewa. uchaguzi uko karibu mno, hivyo kinachowezekana ni mabadiliko madogo yatakayowezesha kuundwa kwa tume huru ya uchaguzi.
Mkuu hamkuchelewa ila mlicheleweshwa kwa makusudi na Ccm na kwa hilo wamefanikiwa.

Uchaguzi kufanyika kwa katiba hii hii ndicho Ccm walichokilenga, hata ule mpango wa kutoa elimu ya uraia kwa miaka 3 kabla ya mchakato wa katiba ni moja ya mbinu za Ccm kupoteza muda ili waendelee kunufaika kwa katiba ya sasa.

Kwa katiba hii hiyo 'tume ya uchaguzi ' haitokuwa na Uhuru mnaoutaka yaani kwa katiba inayoruhusu aina ya demokrasia ya chama kimoja tu haiwezi kuruhusu Tume huru yenye kuleta uwiano sawa baina ya vyama tofauti shindani, kiufupi Ccm wamefanikiwa kuwazidi kete na mmeingia kwenye mtego wao kwa kulazimishwa.

Hata baada ya uchaguzi (maana Ccm watashinda tu), hiyo katiba mpya hamtoipata hata au la mtapata aina ya katiba wanayoitaka Ccm.

Nguruvi3 Rabbon zitto junior
 
CCM wamewastudy vizuri wakagundua kuwa jamaa zetu wanapozungumza kuwa wanataka katiba mpya kimsingi wanataka mazingira mazuri ya kupata viti vingi vya ubunge na ruzuku kuongezeka. Hawana Interest sana na major reforms ambazo wananchi wanazidai. Ndiyo maana CCM imewacorner na kuwafikisha point ambayo imeweza kumask sura zao, na sura zenyewe ni "Tufanye mabadiliko madogo ya kutuwezesha kutupeleka katika uchaguzi wa 2025" . Chama ambacho kiko tayari kusettle kwa mabadiliko madogo ya katiba ya sasa kwa ajili tu ya uchaguzi hakina strength ya kupigania katiba mpya kwa moyo mmoja!
 
Back
Top Bottom