Pre GE2025 Kwanini Serikali ya Rais Samia imeruhusu maandamano ya CHADEMA?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali imeruhusu maandamano kwa sababu ya misaada na mikopo kutoka kwa wazungu. Watoa mikopo na misaada wamelazimisha maandamano
 

..umesema kweli kwamba Ccm hawataki katiba mpya.

..ni kweli vilevile kwamba wanatumia njia mbalimbali za kuhujumu na kuchelewesha katiba.

..pia katiba hii mbovu ina madhara makubwa ya kiuchumi, kijamii, na kisiasa, kwa nchi yetu.
 
Umefanya uchambuzi mzuri, lakini umesahau Moja. Rais Samia ni muumuni wa Katiba. Anajua Maandamano yapo kikatiba. Ndio maana haoni tabu wakiandanana

Unasema kwamba CCM hawaitaki Agenda ya Katiba. Lakini CCM ndio ilianzisha mchakato wa Katiba, na ikauendesha mpaka rasimu ikapatikana. Kilicho Baki ni kura ya maoni tu. Unaionea CCM baada ya kuwa imefanya kazi kubwa ya Katiba tayari!
 
Mtoa mada kumbuka maandamano yamebadili Hali ya hewa ya kisiasa mahala pengo sana ikiwemo Marekani mpaka kukatwa na usawa. AFRIKA Kusini maandamano yaliwafanya Makaburu wanyooshe mikono, Makaburu wa Tanzania ni CCM,mifumo yote ya checks & balance imeuawa kabisa, mahakama na bunge zimekuwa zikisikiliza Nini Rais (serikali) anataka Nini. Maandamano yatarekebisha mambo mengi sana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Katiba inaruhusu acha ujinga wewe! Nenda shule!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…