GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Muaji hajui kuokoa bali kuangamizaComments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
Kuzika maiti niKwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?
Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.
Mbona jibu liko wazi mkuu🤣🤣🤣🤣kuzika maiti ni "cheapest"Kwanini Serikali ya Tanzania huwa nyepesi Kujitolea Kuwazika Waliokufa katika MAAFA, ila Kupambana kuyazuia huwa Wazito na hawajali?
Comments zenu ni muhimu sana katika huu Uzi wangu na naamini hamtoniangusha kwakuwa nyie ni Wajuvi wa kila Kitu.